Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Mkuu uliyoandika ni ukweli mtupu,hata Kama watu watakupinga,mi nimeathirika na kuwa na hali ya kusahau sahau,pia nakuwa natokwa na jasho Kali wakati siku za nyuma sikuwa hivyo,punyeto ni mbaya sana,bora kuacha kabisa.

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Fact. Tena in deep make hata ukiendekeza ngono kufa ni mapema
 
MKUU ume fikia wapi juu ya hili suala la nyeto umeweza acha kabisa au bado tia maji tia maji ?!
 
Mimi ni kijana ambae naishi mwenyewe kishikaji nina mademu wengi sana mpaka muda mwingne nawasahau wengne, na hakuna hata mmoja kati yao anayenicharge hela nikitaka kulala naye.

Sasa shida iliyopo ugonjwa wangu nyeto na ambayo huwa naipiga najilaumu mara mia ni asubuh mfano nikiamka sa moja mbaka nakuja kupees ni saa tatu huko mixa nipige zoez nijiandae unakuta inafika mpaka sanane, kitu ambacho natamani sana kuacha wakuu msaada wenu.
 
Siwezi kuisema vibaya punyeto ,haswa mimi binafsi inaniokoa mara nyingi kama mke wangu anaponinyima unyumba takribani siku 3 mpaka 4 huwa nalazimika kupiga punyeto ili nipate usingizi.


Madhara tuachane nayo tu ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…