Kupinga uangaliaji wa video za porn pamoja na upigaji punyeto kwa vijana

Yese Kajange

New Member
Oct 24, 2018
4
12
Wengi wetu tunafahamu athari za punyeto kwenye Afya zetu ila hatujui vitu vya kuzingatia Ili kuondoa Madhara haya, kama ingekuwa ni mimi niliye pata Madhara hayo ningefanya mambo yafuatayo Ili nirudie uimara wangu;

1. Ningeacha kabisa Kuangalia video za ngono, hivyo kuiacha punyeto mazima:

Wanaume Wengi Baada ya Kuathirika na Punyeto Huwa wanapoteza Imani kwamba wanaweza kupona hii Hali pia wanajihisi kwamba wao hawana haki ya kufurahia Tendo la ndoa, Hivyo kujikuta wakiendelea Kufanya Punyeto na Kuangalia video za ngono ili kujiridhisha kimwili. Jambo ambalo linaendelea kubomoa Afya ya Uzazi. So ningekuwa mimi, ningeacha kabisa kujishughulisha na haya mambo.

2. Ningeanza kuzingatia Lishe Bora pamoja na utaratibu mzuri wa kunywa maji:

ilimradi mfumo wako wa Uzazi uweze Kufanya kazi vizuri, unahitaji madini mengi pamoja na vitamins za kutosha ambazo zitaenda kuboresha Uzalishaji wa MBEGU, kuimarisha mfumo wako wa hormone (Testosterone) pamoja na kutanua mishipa ya damu hivyo damu kujaa Kwa wingi kwenye Uume. Na Uume kurudi kwenye Hali ya Kawaida.
So ningezingatia ulaji wa matunda na mboga za majani Kwa wingi. Na ningeacha kabisa kula Vyakula vyenye Mafuta na ningeepuka vinywaji vya kemikali.

3. Ningeanza Kufanya Mazoezi ya nusu saa walau mara Tano Kwenye wiki zangu:

ufanyaji wa Mazoezi utanisaidia sana kuboresha mapigo ya moyo hivyo kuufanya moyo uweze kusambaza damu Kwa urahisi kwenye Uume na kuufanya uume uweze kurudi kama Awali. Pia ufanyaji wa Mazoezi kama Kegel exercise, utanisaidia kuimarisha misuli ya pelvic floor muscles iliyo kwenye nyonga hii hivyo kuufanya uume ukawie kumwaga Wakati wa tendo la ndoa.

4. Ningejipa mda mrefu wa kujiimarisha vyema bila Kuangalia matokeo na bila kushiriki tendo la ndoa.

Kitu ambacho kinawafanya Wanaume Wengi Kushindwa kuimarika vizuri kwenye Afya ya Uzazi ni kupenda njia za mkato, na ndio maana idadi Kubwa ya Wanaume imewapelekea kwenye utumiaji wa Dawa za kuboost Kwa muda mchache ndio maana Changamoto haiishi.

Sasa mimi ningejipatia walau miezi miwili ya kuzingatia Lishe nzuri, Kufanya Mazoezi na Kupata muda mwingi wa kupumzika.

Kujiunga na kampeni yetu tuma ujumbe whatsapp 0779908932
 
Back
Top Bottom