jdsk
Senior Member
- Apr 10, 2018
- 164
- 266
Mkuu uliyoandika ni ukweli mtupu,hata Kama watu watakupinga,mi nimeathirika na kuwa na hali ya kusahau sahau,pia nakuwa natokwa na jasho Kali wakati siku za nyuma sikuwa hivyo,punyeto ni mbaya sana,bora kuacha kabisa.Mimi Binafsi nilianza kupiga hii Kitu miaka ya 2009 kisa ni zile story zinazopatikana kwenye magazeti ya Sun ya kipindi kile. Nikawa hata nikimtia dem lazima nimalizie na Puchu moja ndiyo nakua nmeridhika. Ila nikawa naona mabadiliko kidogo sana ikiwemo:-
- uwezo wa kushika vitu kichwani ukapungua sana, (napoteza kumbukumbu ndani ya dakika chache sana hazizidi mbili)
- uwezo wa kuongea mbele za watu ukayeyuka (nilikua na uwoga sana kuongea mbele za watu),
- nikawa napatwa na hali ya Kuchapia nikiwa naongea yaani hata kama naongea sentensi fupi tu nachapia,
- nikiwa namtia mwanamke siwezi kukojoa mpaka nimfikirie dem wa kwenye magazeti (wema, uwoya, masogange nk),
- mashine kuchelewa kusimama na ikisimama hata ikikojoa hailali mpaka nipige nyeto,
- kuanza kunuka Vikwapa hata nikioga yaani likitoka jasho kidogo tu linanuka kwapani vibaya mno
- nikiwa geto peke yangu bila kujali muda nawaza kupiga nyeto tu na lazima nitapiga.
Hata baada ya kuoa miaka ya elfu mbili na kumi na kitu nilikua naendelea kupiga nyeto, mpaka ilipofika mwaka 2020 nikaacha baada ya kuona madhara ya kisaikolojia yalikua yananizidia yaani nilikua napoteza kumbukumbu, uwezo wa kuongea maneno kwa mpangilio mbele ya Viongozi wangu ulipungua yaani ni kama nilikua naelekea kwenye UCHIZI.
Nikaacha hiyo kitu mwaka 2020 mwezi wa Nane na mpaka leo hii sijapiga kabisa na ninaendelea kuimarika hasa kwenye kumbukumbu, uwezo wa Kujiamini, LAKINI HAKUNA MADHARA YA KULEGEA UUME ENDAPO NAKUTANA NA MWANAMKE ANAYENIVUTIA.
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app