Raisi hakatwi kodinnachojua mimi anapokea milioni 9 baada ya makato ya kodi
Raisi hakatwi kodinnachojua mimi anapokea milioni 9 baada ya makato ya kodi
kasema nani?Raisi hakatwi kodi
He is missing since then.And??????
Mkichimba aliyosema huyu Jibu lipo hapa maana ni business partiners na sio marafiki tuMuulize raila odinga atakusaidia vizuri maana ndie rafiki wa karibu
Mkuu tunakubaliana mambo mengi,ila kwa hili hapana,naujua undani.Endelea Kufikiri Hivyo Hivyo ya Mdada.
Undani Upi Ndugu? Hivi Wewe na Wafanyakazi wa Kebby nani anayejua Undani wa Mmilliki wa Kebby? Usidanganye na Rangi utamu wa Chai Sukari nenda Kebby kaulize watakwambia ABC.Mkuu tunakubaliana mambo mengi,ila kwa hili hapana,naujua undani.
Wafanyakazi wanajua kitu kingine na waneunganishia hapo hapo babu.Undani Upi Ndugu? Hivi Wewe na Wafanyakazi wa Kebby nani anayejua Undani wa Mmilliki wa Kebby? Usidanganye na Rangi utamu wa Chai Sukari nenda Kebby kaulize watakwambia ABC.
Kweli mkuuA Aaaaaa!! unakosea sana aisee sisi watu wazima zihaka na maneno yasiyo na staha si sahihi kuyatumia, be a civilized person