Leonidas Kabugumila
Member
- Jan 30, 2017
- 38
- 36
Mali za Sizonje kama za walalahoi.
Nenda kanye kwanza, kisha ujitawaze kwa vidole, then kalalee Chato .sawa lakini huu ni mjadala wa jamvini sio kwenda maofisini kumpeleleza nsinzonJe
Hili nakataa nalijua vizur mpaka Yule mama alivyobanwa na benk kidogo waiuze tukamchangia pale Kkoo. Tumelipwa kidg kidogo mpaka kamaliza tuache uzush sometimeskebby's hotel mwenge
Vipi mali za Bogus!nSinZonje [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siyo yake,ya mdada fulani.kebby's hotel mwenge
Huu ni ukweli mtupu,siyo yake.Hili nakataa nalijua vizur mpaka Yule mama alivyobanwa na benk kidogo waiuze tukamchangia pale Kkoo. Tumelipwa kidg kidogo mpaka kamaliza tuache uzush sometimes
Bw Bashite ni mali?Ni mmiliki pia wa bw bashite
Mkuu hebu vuta picha edo ndio angepewa huo uwaziri, nn kingejiri?!The guy is richer than u think.. Ukitaka kujua utajiri wake, piga 1-3% ya miradi yoote ya ujenzi wa bara bara zilizojengwa nchini ambazo zinazidi trilioni mbili.... Kwa maelezo yake hizo ni pesa alizozikataaa.... Huenda ni kwa sababu ya uadilifu au ni kwa sababu alikuwa ameshiba sana...
nnachojua mimi anapokea milioni 9 baada ya makato ya kodi
dahhh!! hongera yakeWanasiasa wa Kiafrika ni Matajiri sana,Kama mtu alikuwa Waziri wa Ujenzi unategemea hasiwe na mali? Hao watu ni matajiri hadi kina bakresa usikute wanasubiri sema mali zao ni za kificho sana,Mfano Mchukulie BASHITE ndani ya Mwaka tu ni Bilionea sasa mtu kama sizonje kahudumu serikali kwa zaidi ya miaka 20 tena wizara zenye 10% ya kufa mtu,Mie najua JPM ana mtaa mzima huku ana Nyumba 12 Mbweni JKT.
Mbona mahakama ya mafisadi haina kesi si wampeleke Fisadi LowasaTukimaliza mali za sizonje tuhamie kutaja mali za fisadi nyangumi mamvi......ili tufanye ulinganisho!
Endelea Kufikiri Hivyo Hivyo ya Mdada.Siyo yake,ya mdada fulani.
And??????Mwanzake Ben aliaanza kwa kumfuatilia fuatilia hivi hivi.