Upi ujinga kati ya haya

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,182
Reaction score
11,782
Kun'garisha viatu ukiwa unaenda kupiga passport size,kumwambia konda shusha wakati upo karibu na Dereva,Kupunguza sauti ya Redio ili Usome message kwenye simu,kumbembeleza mkeo akupe uroda,kuoga kwa sabuni ya unga,kusimamisha basi uulize muda,kuomba maji ya kunywa hotelini,konda kusubiri gari iondoke ndio aikimbilie,kubip alafu unaangalia salio,kuvaa nguo mpya siku ya sikukuu,
 
Nimekubali kabisa
 
duuuuuh.... yan vyote ni sawa ila
ya kondakta kusubili gali liondoke alafu aikimbilie na kumwambia kondakta shusha huku umekaa karibu na dereva ni meviona vimezidi
 
Duh! Konda kusubiri gali liondoke ndio akimbilie ni ujinga sawa na kumwamsha mgonjo usingizini ili umpe dawa ya usingizi
 
Sio ujinga mana ya thread hizi ni jokes
 
kuvaa nguo mpya mpaka sikukuu.
 
zote ni ujinga kasoro ya kupiga kiwi viatu, maana unakuwa smart.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…