zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,562
- 40,635
- Thread starter
-
- #21
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi murua kuhusu hao Annunaki na Aruba ni jamii kama ya Goliath yalikuwa na yenyewe majitu makubwa yenye nguvu enzi hizo naona labda mfano wako utakuwa umetosheleza kueleza kuhusu hawa Annunaki piaMkuu
Kama sijakosea.Baada ya Gharika Mungu aliziacha nafsi za hao wanefili hai ili vizazi vyote vije vishuhudie yaliyotokea..
Lakini hizi nafsi pia ndio zilianza tena kazi kuendeleza ubaya kwa kuwatumia watu..
Ndio zilizomwongoza nimrod kujenga Mnara wa babeli..
Pia zinafanya mengi makubwa kwa kupitia binaadam wenyewe eg Illuminat.
Suala la kanani naweza sema kua hao hawakua wanefili bali tu itakua ilikua tu kutokana na asili ya majimbile ya watu mfano Muha wa mkongoro akisimama na msukuma wa shinyanga lazima ajione panzi maana kiasili waha wafupi wasukuma warefu.
Pia mfano Goliath alikua ni jitu kubwa lenye mwili uliopanda juu lkn si Wanefili.
So suala la hapo kanani si dhani kua walikua wamewaona wanefili.
Hao uliotaja paragraph ya mwisho siwafaham labda unielezee nipate elimu
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi murua kuhusu hao Annunaki na Aruba ni jamii kama ya Goliath yalikuwa na yenyewe majitu makubwa yenye nguvu enzi hizo naona labda mfano wako utakuwa umetosheleza kueleza kuhusu hawa Annunaki pia
Ahsante
Asante kiongoziFallen angels..wakiongozwa na Azazel ndio waliingiana na binaadam wakatokea Nephills so Nephils ndo Product ya Fallen angel.
Remember baada ya hao malaika 200 kushuka duniani Mungu aliwafunga kuzimu Wakisubiri hukumu yao ila Nephills bliidline waliondolewa na Gharika kuu ya Nuhu..
Anadai lilizama chini ya bahari.... Wengine wakadai lilimezwa na bermuda triangle yaani kila mtu ana lake ndio maana nikaleta mada humu tujue kipi ni kipihuyo jamaa alikuwa anatumia bhangi kali sana. limepotea limeenda wapi?
MkuuNachoshangaa mm kwa nn malaika hawatetei binadamu wala kusaidia
Mapepo yanaletaje utamu wa dunia?????mapepo ndo yanaleta utamu wa dunia kupitia teknolojia je kunamtu ameshaona malaika
[emoji15] [emoji15] theoryBara la Atlantis kipindi cha Nuhu kurudi nyuma lilikua likitumiwa kama Base/makazi ya Viumbe waliopatikana baada ya Fallen angels kuingiliana kingono na binaadam (WANEFILI)
Baadae lilipotea hilo bara na kubaki barafu tu lakini mpango uliopo sasa hv under secret societies (Iluminat) ni kulirudisha tena na kurudisha Nephilism bloodline. Soon we are reached NWO
Kuna kitabu kinaitwa thiaoouba prophecy.
Kama utaamini kila ya kilichoandikwa huko utakuwa umepata majibu yako.
Kitabu unaweza kukinyonya mtandaoni kirahisi tu.
Unawezaje kurudisha bloodline ambayo Mungu ameifuta?Bara la Atlantis kipindi cha Nuhu kurudi nyuma lilikua likitumiwa kama Base/makazi ya Viumbe waliopatikana baada ya Fallen angels kuingiliana kingono na binaadam (WANEFILI)
Baadae lilipotea hilo bara na kubaki barafu tu lakini mpango uliopo sasa hv under secret societies (Iluminat) ni kulirudisha tena na kurudisha Nephilism bloodline. Soon we are reached NWO
Unawezaje kurudisha bloodline ambayo Mungu ameifuta?
Uovu Na dhambi zote zikiasisiwa Na mwanadamu. Kaini ndio muuaji wa kwanzaWatu wabaya wametoka wap?
Wafiraji, wasagaji, wacheza kamari..?
Think..
Uovu Na dhambi zote zikiasisiwa Na mwanadamu. Kaini ndio muuaji wa kwanza
Uovu Na dhambi zote zikiasisiwa Na mwanadamu. Kaini ndio muuaji wa kwanzaWatu wabaya wametoka wap?
Wafiraji, wasagaji, wacheza kamari..?
Think..
Uovu Na dhambi zote zikiasisiwa Na mwanadamu. Kaini ndio muuaji wa kwanzaWatu wabaya wametoka wap?
Wafiraji, wasagaji, wacheza kamari..?
Think..
ShetaniNina mashaka na elimu yako ya dini mkuu..
Baba wa dhambi ni nani..?
Adam?Cain?
Shetani
Watalirudisha vipi? Je na hayo majitu(Wanefili) watakuwepo?Bara la Atlantis kipindi cha Nuhu kurudi nyuma lilikua likitumiwa kama Base/makazi ya Viumbe waliopatikana baada ya Fallen angels kuingiliana kingono na binaadam (WANEFILI)
Baadae lilipotea hilo bara na kubaki barafu tu lakini mpango uliopo sasa hv under secret societies (Iluminat) ni kulirudisha tena na kurudisha Nephilism bloodline. Soon we are reached NWO