[h=6]1.kung'arisha viatu wakati unaenda kupiga passport size
2.kukaa kiti cha mbele karibu na dereva kisha unamwambia konda shusha
3. Kumwamsha mgonjwa ili umpe dawa ya usingizi
4.kupigiwa simu halafu unaangalia salio kwenye simu yako
5. Kupunguza sauti ya redio ili usome msg
6-Kuosha mikono wakati unakunywa soda
7-Kupiga punyeto huku unataja demu jina lake[/h]
too late to brought it here
too late to brought it here
Hapa hatutafuti ujinga ila tunamtafuta huyu mjinga mleta ujinga humu.
Hapa hatutafuti ujinga ila tunamtafuta huyu mjinga mleta ujinga humu.
sometime you have words
Mmmmh!kwan hapa kinaendelea nn?ok nawasalimia wakuu!
Mlaumu sana mwalimu wako wa kingereza.....