Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 942
- 2,272
TayariMkuu ungerudia kuandika
Mpo Dar?Saa 11 alfaji na dakika 17 ndio muda mwisho kula daku
Jirani angu ameomba nigoogle mtandaoni kalenda ya daku mwez huu wa ramadhani lkn inanipa mashaka hii kalenda. Kama vile kumekucha sana. Inaonesha saa 5:17 am
Nahofu nisije kiwa nimempoteza/kudanganya muda wa kula daku
NdioMpo Dar?
Nilipokuwa naishi huko, saa kumi na nusu ilikuwa muda mzuri wa kuhitimisha hilo jambo.Ndio
sasa huoni Raha iyo?Imagine mtu anatandika magimbi, kachori na Uji muda huu alafu ana acha kula hadi saa moja kasoro jioni, dunia ina mambo
Kabla ya adhana ya pili ya swala ya alfajiri.Jirani angu ameomba nigoogle mtandaoni kalenda ya daku mwezi huu wa ramadhani lakini inanipa mashaka hii kalenda. Kama vile kumekucha sana, inaonesha saa 5:17 am (saa kumi na moja na dk 17 Alfajiri).
Nahofu nisije kuwa nimempoteza/kudanganya muda wa kula daku.