Upi ni muda mrefu uliokaa bila kufanya mapenzi?

Upi ni muda mrefu uliokaa bila kufanya mapenzi?

Tangu niyafahamu mapenzi sijawahi kukaa mda mrefu namna hii bila kushiriki, mpaka sasa ni miezi miwili sasa nimejikuta tu nimeshazoea nadhani naweza kumaliza hata mwaka.

Kwako mdau upi ni muda mrefu zaidi uliowahi kukaa bila kufanya mapenzi?
Mbona kama tupo pamoja?
 
Usipofanya muda mrefu kiroho ina faida sana...unakuwa na high positive spiritual energy! Huitaji maombi marefu sana
 
Back
Top Bottom