Upi mtazamo wako?

Upi mtazamo wako?

Kwenye paper ni kweli tuko vizuri ila ukiingia kwenye uhalisia, tunafuka moshi. Wapikaji wa hizo data on paper sijui ni akina nani
Ndio hivyo mkuu nchi zetu za Africa bado zinahitaji uwajibikaji na uzalendo ili zikue zaidi ya hapa sio masilahi binafasi na hii ni culture inayotakiwa kupandikizwa kwa vizazi waipende nchi kuliko maisha yao binafsi
 
Hapa ni hadi tutawaliwe tena kwa mabavu huku tunapandikizwa hii kitu ili hata wakituachia tuweze kwenda na mfumo, ila kwa kusubiri tu wajirekebishe wenyewe mkuu hutoona hilo hadi ukamilifu wa dahali
 
Back
Top Bottom