Upepo wa Membe mtaani usipime

Upepo wa Membe mtaani usipime

Hujakielewa nachokukatalia, nakataa unaposema "Magufuli haihitajii ccm bali ccm ndiyo inayomuhitajia Magufuli", nasema tena kuwa ccm ni taasisi kubwa kuliko unavyoifikiria, na kama unabisha basi mwambie ahame chama akagombee kupitia chama kingine uone nini kitatokea.
Nani wa kushindana nae wataje, membe, January, wote aliwashinda 2015 kwenye kura huru za ccm, wataweza kumshinda 2020? hebu tueni mature kidogo tuache kujipa matumaini hewa. Ninacho jua mimi utendaji wa Magufuli huwezi kuulinganisha na makada wote ccm , wengi wao ni midomo tu utendaji ni zero, hao wenyewe video zao zimetolewa hewani kwani wamechukua hatua gani ? kama ni fighter's wangekuwa wako upinzani au waanzishe chama washindane na magufuli ili wamshinde ? kwani wana wafuasi wengi nbona kuogopa? hapo ndo huwa najua matanzania kwa kuongea tuko wazima sana action ndio shida, heri ya Magufuli walau anafanya kwa vitendo sio hizi ngonjela.
 
Lakini kwa hali ya nchi ilipokuwa imefikia kupindi cha jk ilitulazimu aje mtu wa aina hii, ...... Au umesahau mzee?
Sio huyu... aliejiita kichaa.. mpenda kutumbua... mbona ametupiga kivuko cha bagamoyo je atumbuliwe na yeye?
Kitumbulio tayari
20190804_090340.jpg
 
Unatoa Takwimu Kwa Kibari Cha Nani
Wewe Unatakiwa Kukamatwa Na Mamlaka 😂😁😀😃😄😅
 
Hatari sana...

Nilisemaga kwamba uchaguzi wa 2020 utakua na kashkash sana...

Sii kwa wapinzani wala chama tawala... joto likua kubwa sana...

Cc: mahondaw
 
Hujakielewa nachokukatalia, nakataa unaposema "Magufuli haihitajii ccm bali ccm ndiyo inayomuhitajia Magufuli", nasema tena kuwa ccm ni taasisi kubwa kuliko unavyoifikiria, na kama unabisha basi mwambie ahame chama akagombee kupitia chama kingine uone nini kitatokea.
Ana weza fanya hivyo na bado akashinda, tena kwa 100%, kumbuka yeye ana mawaziri zaidi ya 20, wabunge ambao akihama wengi watamfuata, wabunge wengi wanataka guarantee ya kurudi tena bungeni, hivyo wana muhitaji Magufuli kuwa vusha, wakurugenzi ambao ni wakeleketwa wakuu wa uchaguzi ni wateule wakuu was Rais, vyombo vya ulinzi na usalama wakuu wake ni wateule wake, akitoka ccm hii advantage ccm itakuwa haina tena, huyu mtu unafikiri ccm watamshinda? ukweli kuwa ccm ndo ina muhitaji Magufuli wala sio vingine.
 
Nshakuona kuwa hujui nini maana ya chama, tena chama dola. Kama si ccm basi Magufuli si lolote si chochote.

Mende ataongoza makabati na chooo sio hii Nchi ambayo tupo watu na akili zetu... Mende atabaki kuwa Mende halafu usimlinganishe Mh Raisi JPM na Mende
 
Kazi iliyo mbele ya Membe ni moja tu basi! KUCHUKUA FOMU mengine atuachie sisi Magwiji na Makungwi!

Hatuwezi kuacha nchi iongozwe na mtu ambaye akilala akiamka alichoota jana usiku ndiyo policy ya nchi leo!

We deserve better!!!
Siyo Lisu tena?
 
Nshakuona kuwa hujui nini maana ya chama, tena chama dola. Kama si ccm basi Magufuli si lolote si chochote.
Chama dola means chama aw serikali, serikali na institutions zake ziko chini ya Magufuli mzingueni muone, ndio maana Dk slaa walikuwa wanasema ccm bilateral polisi ni wepesi kama karatasi ndugu.
 
Hakuna siri tena,kwenye kile chama kuna kundi kubwa limeibuka likimtaka mh Membe kusimama 2020

Na kwa utafiti mfupi uliofanyika lakini sio rasmi unaonyesha kuwa Membe anakubalika zaidi na wanaccm wengi na wasio wanachama wa ccm

Eitha ,imeonyesha kuwa endapo Membe atasimama 2020 upinzani utakuwa na nguvu chache tofauti akisimama mzee mwenye nyumba ambapo upinzani unaweza ukawa na nguvu kuliko hata kipindi cha Lowasa na mabadiliko

Mikoa inayomuunga Membe kwa asilimia 100 ni Mtwara,Lindi,Ruvuma,Njombe,Iringa,Mbeya,Kigoma,Kagera,Mwanza jiji,Mara,Arusha,Kilimanjaro, Tanga,Pwani,Dar,Singida na mikoa yote ya Zanzibar

Mikoa inayomuunga Mzee mwenyewe wa chama ni Dodoma,Geita,wilaya za Mwanza(nje ya jiji),Simiyu, Katavi na Tabora

Mikoa ambayo wanagawana nusu kwa nusu ni Rukwa,Morogoro,Manyara na Shinyanga
Utaratibu wa Nyundo 10 Mwisho Awamu hii,ANKALI ndio anafunga huo utaratibu,2020 Tunaenda na Membe ndani ya CCM.
 
Kazi iliyo mbele ya Membe ni moja tu basi! KUCHUKUA FOMU mengine atuachie sisi Magwiji na Makungwi!

Hatuwezi kuacha nchi iongozwe na mtu ambaye akilala akiamka alichoota jana usiku ndiyo policy ya nchi leo!

We deserve better!!!
Kabisa yaani yeye ni fukuza teua fukuza teua,hajiulizi hata kwenye speech ya nyerere alisema waliweka sheria ngumu kumfukuza mtu kazi,kitendo cha magu cha fukuza teua kinawafanya wateule wawe mazuzu hayajielewi yaani yanafanya mambo ya kipuuzi kumfurahisha "MFUNGWA" huku wakiogopa kufanya mambo ya kuleta maendeleo kwa wananchi.
 
Membe aombe ruhusa kwa "Harmonize" kibao alichoimba kinatosha. Hakuna Mtanzania atakaekubali kurudi nyumba.
 
Hakuna siri tena,kwenye kile chama kuna kundi kubwa limeibuka likimtaka mh Membe kusimama 2020

Na kwa utafiti mfupi uliofanyika lakini sio rasmi unaonyesha kuwa Membe anakubalika zaidi na wanaccm wengi na wasio wanachama wa ccm

Eitha ,imeonyesha kuwa endapo Membe atasimama 2020 upinzani utakuwa na nguvu chache tofauti akisimama mzee mwenye nyumba ambapo upinzani unaweza ukawa na nguvu kuliko hata kipindi cha Lowasa na mabadiliko

Mikoa inayomuunga Membe kwa asilimia 100 ni Mtwara,Lindi,Ruvuma,Njombe,Iringa,Mbeya,Kigoma,Kagera,Mwanza jiji,Mara,Arusha,Kilimanjaro, Tanga,Pwani,Dar,Singida na mikoa yote ya Zanzibar

Mikoa inayomuunga Mzee mwenyewe wa chama ni Dodoma,Geita,wilaya za Mwanza(nje ya jiji),Simiyu, Katavi na Tabora

Mikoa ambayo wanagawana nusu kwa nusu ni Rukwa,Morogoro,Manyara na Shinyanga
Pwaahhaaaahahahahaaaaa...dah!
 
Back
Top Bottom