Adamjuma94
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,292
- 4,752
usifanye hivyo makiseoMimi Mwanaume hajala hela yangu kwa njia hiyo.
usifanye hivyo makiseoMimi Mwanaume hajala hela yangu kwa njia hiyo.
Wanawake wa wapi hao ?
Tuseme tu bongo nzima hawapoHao sijui watakuwa wa wapi lkn wa Dar sidhani
Rafiki naomba nihonge please![emoji53][emoji53][emoji53]Mi bado sijafikia huko
Mwacheni mleta mada wangu mpendwa!Labda mleta Mada ,yy anahonga huwezi kujua
Ndo hivo mkuu we unakubali kuhongwa kipensi?Hutaki kuhongwa
njoo uchukue hela zingine ziko huku..Mm napenda pesa jaman shemeji yenu akinipa hayo mauno ninayomkatikia kama feni za panga boy nikianza kuonga nitakuwa gogo kitandani
Mkuu ,sijawahi pata hii bahati ,wala siwezi sema km inaweza kunitokeaNdo hivo mkuu we unakubali kuhongwa kipensi?
Ntakuhonga wewe....Mi bado sijafikia huko
Vibamia vinawatekenya sana na viko vingi lazima wahonge sana mana vina simama kweilkweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Habari wakuu,
Baada ya vidume kuwa vigumu kuhonga sasa wanawake ndio wanahonga.
Tena wanahonga haswa maana wanakulisha, kuvisha, kodi na gari la kutembelea.
Zile kelele za kuhusu wanawake wanaomba pesa saivi zimekwisha maana vidume vinapewa pesa na wanawake.
Uzuri ni kuwa wanawake wao hawasemi ni kimya kimya unahongwa huku kazi yako kupasha mashine.
Naona ni badala ya kuona vilio vya wanaume wabahili wameona wajiongeze.
Wanawake nao wamekuwa wajanja wanajua kusaka pesa kuliko wanaume.
Wanaume msipokuwa makini ile hamsini kwa hamsini itawapata...
Doncute
Mkuu itakutokea maana sio kwamba wanahonga tu bali wanawekeza hawa viumbe waangalie kwa jicho la tatu..Mkuu ,sijawahi pata hii bahati ,wala siwezi sema km inaweza kunitokea
ShemejiNakuja kukuhonga laki 3 na mimi nilione hilo panga girl unalolisifia.
'si' huku mtogole kwa TumboYesss si huku Mtogole kwa Tumbo😀😀