Mmmmh mim siwez kabisa kumhonga mtu , yaani kutumia tu pesa yangu kwa matumiz yangu binafsi roho inaniumaaaa !!!!!!
Ndo nihonge khaaaaaa siwezi
Mkuu kila mtu na Upeo wake wakuona jambo,na jamii huona sawa kwa Babu miaka 70 kua binti wa 20yrs na hata bint nae sometimes hua ameridhika.