mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,756
- 6,295
Habari wakuu,
Baada ya vidume kuwa vigumu kuhonga sasa wanawake ndio wanahonga.
Tena wanahonga haswa maana wanakulisha, kuvisha, kodi na gari la kutembelea.
Zile kelele za kuhusu wanawake wanaomba pesa saivi zimekwisha maana vidume vinapewa pesa na wanawake.
Uzuri ni kuwa wanawake wao hawasemi ni kimya kimya unahongwa huku kazi yako kupasha mashine.
Naona ni badala ya kuona vilio vya wanaume wabahili wameona wajiongeze.
Wanawake nao wamekuwa wajanja wanajua kusaka pesa kuliko wanaume.
Wanaume msipokuwa makini ile hamsini kwa hamsini itawapata...
Doncute
Ila ni kweli lakini tatizo ni ngoma tu....siku hizi watu wengi wamekuwa carriers.