Upepo umebadilika: Wanawake saivi ndio wanahonga

Upepo umebadilika: Wanawake saivi ndio wanahonga

Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha ....aaaaahahahahaha wanawake mnafanyaje?????? .........yaani Mimi nimuhonge mwanaume Mimi!!??? Eeeh mungu hilo janga usinijaalie mpaka narejea kwako amen
Ile siku ushachuja, nyonyo refu km mtungi, huna shepu uko km pipa, mzee baba hakupi tena gemu km zamani naye anaruka na vibinti, wewe utahonga tuu vibenteni, iwe isiwe maana kuhonga kuna siri nyingi
 
Ile siku ushachuja, nyonyo refu km mtungi, huna shepu uko km pipa, mzee baba hakupi tena gemu km zamani naye anaruka na vibinti, wewe utahonga tuu vibenteni, iwe isiwe maana kuhonga kuna siri nyingi
Siweeeziii kumpa mwanaume hela ni mwiko mkubwa katika imani yangu hapati ng'o
 
Mm napenda pesa jaman shemeji yenu akinipa hayo mauno ninayomkatikia kama feni za panga boy nikianza kuonga nitakuwa gogo kitandani
Nakuja kukuhonga laki 3 na mimi nilione hilo panga girl unalolisifia.
 
Back
Top Bottom