Upepo umebadilika: Wanawake saivi ndio wanahonga

Upepo umebadilika: Wanawake saivi ndio wanahonga

Nimefurahi huu uzi umepata upinzani kutoka kwa Ke wenyewe, mimi nilianza kujiuliza mara mbili mbili hao akina mama/dada wanaohonga hadi imepindua uhalisia wako wapi ambapo wengine hatujawahi pita, sayari hii hii ama?

Binafsi sikatai, wapo lakini namba yao ni almost negligible, unapoikompare na upande wa pili.
 
Nami nilitegea kuona hao wadada wako humu ,na wakichangia namna wanavyoshindana kuhonga vidume vyao
 
Maisha si kusaidiana lakini
Mwanaume ni kichwa cha familia
........my dear popote ulipo tafuta hela sanaaaa tena uzisake kweli kweli hakuna kitonga mbele ya macho yangu Mimi hakunaaaa....
 
Habari wakuu,

Baada ya vidume kuwa vigumu kuhonga sasa wanawake ndio wanahonga.

Tena wanahonga haswa maana wanakulisha, kuvisha, kodi na gari la kutembelea.

Zile kelele za kuhusu wanawake wanaomba pesa saivi zimekwisha maana vidume vinapewa pesa na wanawake.

Uzuri ni kuwa wanawake wao hawasemi ni kimya kimya unahongwa huku kazi yako kupasha mashine.

Naona ni badala ya kuona vilio vya wanaume wabahili wameona wajiongeze.

Wanawake nao wamekuwa wajanja wanajua kusaka pesa kuliko wanaume.

Wanaume msipokuwa makini ile hamsini kwa hamsini itawapata...

Doncute

Vizuri kabisa....maana nyie ndio mnatuhigajj sio kinyume chake.
 
Nadhani mwanamke akikupa pesa ni kwa mapenzi yake, haiitwi kuhonga...

Sisi wanaume ndiyo tunahonga...

Cc: mahondaw
 
Hata mimi yalishanikuta lakini naona huku sikuhongwa bali nikutengenezewa mazingira ya kuja kupigwa rungu takatifu.
IMG_20180802_151049_054.jpg
IMG_20180802_150944_437.jpg
IMG_20180802_150738_197.jpg
 
Back
Top Bottom