Jana huku Vatican kulikuwa na Hotuba anatoa mkuu kumbe huko habari hizi azijafika ni mambo ya kawaida tu si unajua upepo.
Hapo ni St. Peter Basilica Vatican City.
ningependa kufahamu alikuwa amefikia kifungu gani cha maneno wakati upepo una sababisha hicho kitamba kumfunika