Upepo cover; Shkamoo Ray C

Upepo cover; Shkamoo Ray C

Kumbe ukila madawa unakuwa na sauti nzuri eeh....ngoja nami nitafute
 
Ila huyu dada ni mzuri jamani dah!!!sauti nzuri sura nzuri figure nzuri kasoro tabia tu ndo sijui...kanikumbusha ukimwona ya diamond Bella alivyotembeamo akamfunika founder
 
Hilo huwa naliwazia sana,Ray C kakamilika kila kitu.
Ni mzuri mnooooooo! Mungu kamjaalia kila kitu.

Daah..mkuu Ray C alikua zaman bana
kwenye ule wimbo wake wa "uko wap nikufate" in her voice bana...mtoto jicho jicho lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom