Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!

Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!

Usishangae mkuu; maige ni mtu wa ajabu; hebu angalia kauli hii; akatuhumiwa kununua nyumba kwa dola laki 7 akakanusha akasema hapana yeye aliinunua kwa dola laki 4; hiyo ni akili kweli?! As if dola laki 4 ni shilingi hamsini!? Yaani huyu anatakiwa anyongwe mpaka afe
 
Wakati akisulubiwa na Kamati ya Bunge ya Maliasili na Mazingira, aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Maige alikimbilia kwenye vyombo vya khabari na akawasagia Kamati husika akidai imehongwa na yeye ni mtu mwadilifu sana. Akiwa Bungeni aliishutumu Kamati tajwa chini ya uenyekiti wa Mhe. James Lembeli imwogope Mungu na ya kuwa inamwandama kwa kumwonea gere, chuki na fitina.

Mhe. Lembeli alimkumbusha Maige ya kuwa asilitaje jina la Mungu bure kwa kuwa Mungu siyo wa Maige tu bali ni wa wote viumbe vyake..........................La ajabu na kushangaza sana, jana wakati akimkabidhi wizara tajwa mrithi wake Balozi Kagasheki, Mhe. Maige alisahau kauli zake za awali za ya kuwa yeye ni mwadilifu
na akakiri ya kuwa alishindwa kuwasimamia watendaji ndani ya wizara yake na hata akatolewa kafara........Hivi kafara hutolewa kwa mtu aliyeshindwa majukumu yake au kwa yule aliyeonewa?.....Maige kwa kukiri huku kunafanya kauli zake bungeni na kwenye vyombo vya khabari kuwa hakuwa mkweli hata kidogo na ya kuwa utetezi wake ulikuwa kwa masilahi yake binafsi na wala siyo ya taifa............na ubinafsi wake ulichanuka pale alipomshukuru JK badala ya Mwenyezi Mungu kwa kumpa ugali na kumnufaisha yeye binafsi............Hili kweli linatisha sana!.......Maige safari hii baada ya kutenguliwa hakumkumbuka Mungu kama alivyokuwa Bungeni na hata kumshukuru angalau kwa kumwachia kuwa hai hadi jana hiyo huku akiwa kinara wa ufisadi au hata kuishukuru familia yake kwa kumruhusu na kumvumilia kuwepo kwake kwenye ulingo wa siasa..................au basi hata kuwashukuru wapigakura wajimbo lake ambao ndiyo waliomweka kwenye chati za siasa hata huyo JK akamwona angeliweza kumfaa kwenye cabinet yake...................Ingawaje hata JK mwenyewe anaonekana ni bomu kwa kuteua watu ambao uwezo wao wa kufikiri ni finyu kama huyu............

Mhe. Maige hakujilaumu yeye binafsi kwa kuelezea umma yawaje baada ya kuwa waziri ndiyo aligundua
kumbe yeye ni mjasiria mali nguli na hata angeliweza kujirundikia mabilioni ya mapesa na kuwa na mali nyingi zisizohamishika ambazo kama bila ya kufanya biashara ya siasa hayo yasingeliwezekana.................

Kwa kifupi kauli tatanishi za Maige na kukwepa kujilaumu mwenyewe huku akilaumu washirika wake wa karibu ndani ya wizara aliyokuwa akiiongoza ni dalili ya upeo wake ni finyu............................sioni utetezi mwingine.....................na kwa khali hii baada ya Takukuru kumweka kibindoni usishangae kuona anapatwa na kiharusi au jirani ya balaa za namna hiyo.......................sioni kama ana uwezo wa kuhimili mikikimikiki ya namna hizo hata chembe maana mwenyewe hajui anasimamia nini..........

Nafikiri Maige atahukumiwa huyu. jamaa alijisahau kuwekwa pale akajiunga na wizi uliokuepo maliasili bila kujua kua hana magodfather wa kumlinda..Wenzake Ngeleja, Mfutakamba na Mkulo wana magodfather wenye nguvu hawatokutwa na lolote na uchunguzi wa Takukuru.
 
Usishangae mkuu; maige ni mtu wa ajabu; hebu angalia kauli hii; akatuhumiwa kununua nyumba kwa dola laki 7 akakanusha akasema hapana yeye aliinunua kwa dola laki 4; hiyo ni akili kweli?! As if dola laki 4 ni shilingi hamsini!? Yaani huyu anatakiwa anyongwe mpaka afe

MTK pale ambapo Takukuru watapoanza kumhoji juu ya mali hizi ambazo amejilimbikizia...................usihangae ukisikia amelazwa kwa shinikizo la damu...........kama waandishi wa khabari wamemtikisa kiasi hicho basi ujue mambo bado.........................
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri Maige atahukumiwa huyu. jamaa alijisahau kuwekwa pale akajiunga na wizi uliokuepo maliasili bila kujua kua hana magodfather wa kumlinda..Wenzake Ngeleja, Mfutakamba na Mkulo wana magodfather wenye nguvu hawatokutwa na lolote na uchunguzi wa Takukuru.

mharakati.......vizuri wote wakafikishwa kizimbani huko watajijua na wanasheria wao.....................
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma.
Kwanza unatakiwa ufahamu kuwa JK ndio katoa meno kwa CAG na yeye ndio karuhusu ripoti ipelekwe bungeni haraka baada ya kukabidhiwa na CAG kwa mamlaka aliyokuwa nayo rais angeweza kuiweka pembeni kama walivyokuwa wanafanya marais waliyopita ripoti ya CAG inapelekwa bungeni baada ya miaka mitano halafu inasomwa kama hotuba baada ya hapo hakuna kinafuata...sasa hivi JK kampa meno CAG.

ritz labda nianze na masahihishi kwanza.................JK hana ubavu wa kumwezesha CAG bali katiba ndiyo imempa mamlaka ya kuwasilisha taarifa yake kwa Raisi na kama raisi akiamua kuikalia ndani ya miezi 3 kuifikisha yeye mwenyewe Bungeni...........kwa hiyo unatupotosha pale unapodai Jk ndiye kamwezesha CAG na kuruhusu taarifa iende bungeni...............
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma.
Kwanza unatakiwa ufahamu kuwa JK ndio katoa meno kwa CAG na yeye ndio karuhusu ripoti ipelekwe bungeni haraka baada ya kukabidhiwa na CAG kwa mamlaka aliyokuwa nayo rais angeweza kuiweka pembeni kama walivyokuwa wanafanya marais waliyopita ripoti ya CAG inapelekwa bungeni baada ya miaka mitano halafu inasomwa kama hotuba baada ya hapo hakuna kinafuata...sasa hivi JK kampa meno CAG.

ritz labda nianze na masahihisho kwanza.................JK hana ubavu wa kumwezesha CAG bali katiba ndiyo imempa mamlaka ya kuwasilisha taarifa yake kwa Raisi na kama raisi akiamua kuikalia ndani ya miezi 3 kuifikisha yeye mwenyewe Bungeni...........kwa hiyo unatupotosha pale unapodai Jk ndiye kamwezesha CAG na kuruhusu taarifa iende bungeni...............
 
Last edited by a moderator:
Eddie mkono wa mjinga kama huu wa kwako huandika popote pale..............haitoshi kusema ni utumbo mtupu bila ya kuonyesha sababu ya kwanini umeona hivyo........kwa wewe ambaye umo humu ndani ya JF kuanzia 2008 na huna michango yoyote ile....inapendeza kama ukiendelea kuufyata tu kama ulivyokuwa umejizoeleza.........uko kama vile haupo.............though living but you are a dead man
walking............

EDDIE Anatumia makalio badala ya ubongo kufikiri
 
Alipoulizwa na Lembeli afafanue kazipatapataje dola 700'000 kwakununua nyumba kule Mbezi alijikanganya eti ooh nilimkopesha dada yangu hela halafu akawa anazizungusha halafu analipwa na interest! yeye na dada yake wote wezi!

Hebu Ndallo .......fikiria pale atakapokuwa kizimbani si huyu aweza hata kujikojolea..................yaani simwonei huruma lakini ufisadi aliukurupukia tu siyo taswira yake...........................na ndiyo maan akuna kale kamsemo ya kuwa usiige kunya kwa tembo utapasuka msamba..........................huyu bwanasasa atapasuka vipandevipande kwa mambo ya kujitakia tu..............
 
Last edited by a moderator:
hawawezi kujua alisemalo mpaka awe msafi kupitiliza,kumbuka ukiwa muongo usiwe msahaulifu.
 
Tena huyu Maige mwizi kabisa. kabla hajamwagwa alijaribu kujitetea eti alikuwa ameanzisha kampuni yake ya Transport and Logistics, na aliweza kununua zile apartments kwa kuwa alikuwa anapata USD 20,000 net profit kwa mwezi. Ana malori mawili tu ya kusafirisha mizigo.
Wizi mtupu.
Hata mwenye malori 10 sindhani kama anapata faida ya USD 20,000 kwa mwezi! Labda kama anasafirisha wasomali!
 
we eddie!!iv alichoandika rutashubanyuma ni utumbo au ulioandika ww ndio utumbo tena umeoza.maige anatakiwa afungwe kama sio kunyogwa ni watu wangapi wanakufa bila madawa hospitalini wanachuo mikopo hakuna lakin mtu mmoja maige anamiliki mabilion ya pesa za watanzania kwa kutuibia na anadirki kulitaja jina la Mungu wake pasipo sababu.jiziiiiii sana hili af silipendangi.Twiga wetu kawasafirisha wazima.af jiite maige haya majina yanatuzingiua eddie ndio Maige.
 
ritz labda nianze na masahihisho kwanza.................JK hana ubavu wa kumwezesha CAG bali katiba ndiyo imempa mamlaka ya kuwasilisha taarifa yake kwa Raisi na kama raisi akiamua kuikalia ndani ya miezi 3 kuifikisha yeye mwenyewe Bungeni...........kwa hiyo unatupotosha pale unapodai Jk ndiye kamwezesha CAG na kuruhusu taarifa iende bungeni...............

rutashubanyumba.
Hivi huko nyuma Nyerere, Mwanyi, Mkapa, katiba ilikuwa aifanyi kazi? Mbona hatukuwa kuona nguvu ya CAG kama kipindi hiki?
 
Last edited by a moderator:
PANGA LA SHABA: Huyu jamaa mimi nimesoma nae O level pale Arusha Sec, yaani alikua ni msongo wa kufa mtu...extremly anti social...alikua na ka- triangle kake..DH, Kusali na prep. hajawai kuwa kiranja wa shule wala wa bweni. out of no where nasikia ni mwanasiasa tena Waziri. Mimi NAFIKIRI SIASA NI WITO.
Huyu jamaa wakati anasoma plae IFM hakuwai kuwa kiongozi,alikuwa msongo wakupenda kusoma kwa mashindano,alikuwa ni anti social kabisa,na shangaa sana siasa kaijulia wapi,labda ukubwani au...maana wanasiasa wazuri huwa waanzia mashule,ila ndio kashapotea tena arudi kwa Msasila akafundishe masomo ya jioni......ila kwake kama kijana ni msikitiko sana ndani ya mwaka mmoja kama full minister kachemsha vibaya mmno....
 
Back
Top Bottom