Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!

Upeo wa Maige watia mashaka makubwa!

rutashubanyumba.
Hivi huko nyuma Nyerere, Mwanyi, Mkapa, katiba ilikuwa aifanyi kazi? Mbona hatukuwa kuona nguvu ya CAG kama kipindi hiki?

ritz..........CAG alipewa meno katika marekebisho ya 14 ya katiba kama sikosei na uteuzi wa huyu aliyepo Ludovick Utouh kama mtu umeongeza uwajibikaji...... Mfano Pinda anayo madaraka makubwa ya kulithibiti baraza la mawaziri lakini juzi kaenda kwao raia hawajui kama katiba imemlinda ila yeye ni kiongozi mwoga..........raia wakadai apewe madaraka zaidi na katiba........yepi zaidi ya aliyonayo?????????????...........wakati mwingine............it is also of a question of a person behind the wheel.........
 
Last edited by a moderator:
Ruta, mjadala ulionzisha ni nzuri sana ila huyu eddy si wa kukuumiza kichwa. My worry is "he" might be "him" i.e. Maige himself, kama ni kweli unategemea nini kwenye kuchangia?!!! lazima atakuwa na lugha sizo. Achana nae endelea na mjadala. After all humu watu wako huru kuchangia vyovyote wanavyofikiri,😛eace:
 
Panga La Shaba huyu Eddie nafikiri yupo kwenye payroll ya akina maige na mafisadi wengineo...........tatizo wangelitafuta mtu ambaye hata anaweza kujanga khoja hata ya kuwateta badala kulipuka na matusi matupu akaona tutashawishika kutombana tajiri yake.................safari hatuogopi hata chembe mafisadi wao zamu yao kutetemeka............

Zao la sekondari za kata hili.....
 
Zao la sekondari za kata hili.....

Eddie pole sana kumbe wewe ni matunda ya shule za kata alizozianzisha JK? Mie wakati Jk anateuliwa na Mwinyi tayari mambo ya kusoma nilikwisha maliza siku mingi vile.............
 
Last edited by a moderator:
uko sawa maige hana uwezo wa kuongoza huenda JK alitegemea yeye na Ngeleja ni vijana wangebeba chama wao wakatanguliza maslahi yao mbele. shame on him.
 
Wadanganyika tatizo letu huwa tunapumbazwa na vitu vidogo..!! Rais kuwamwaga hawa jamaa huku mitaani watu wameriziika na kuwasifu magamba..!! So im doubting kama kweli hawa jamaa hata kama watapelekwa mahakamani mambo hayatakua ka yakina yona o prof mahalu...!! This is shameful mpaka presidaa mstaafu anatetea wezi....!! ifike kipindi tuache kulindana jamani, mtu awajibishwe and ikiwezekana wanyongwe..!! Hizi tamaa zinatoka wapi, me naamini pesa anazopata from vikao na safari za kila siku na posho ya uwaziri + ubunge na mshahara zinatosha kumfanya mtu awe rich enough...!! Wasipowajibishwa hawa hii ndo itakua sanda ya kuzika magamba yaliyobakia 2015...!!
 
Ruta, mjadala ulionzisha ni nzuri sana ila huyu eddy si wa kukuumiza kichwa. My worry is "he" might be "him" i.e. Maige himself, kama ni kweli unategemea nini kwenye kuchangia?!!! lazima atakuwa na lugha sizo. Achana nae endelea na mjadala. After all humu watu wako huru kuchangia vyovyote wanavyofikiri,😛eace:

Kwisimla.......tatizo la Eddie ni matusi na haonyeshi kuwa na ujuzi wa kutusaidia kuongeza ufahamu wetu au hata wa kwake.,

na ndiyo maana maandiko matakatifu hutuasa ya kuwa................Proverbs 22:14 "Do not answer fool according to his folly, lest you also be like him."
 
Last edited by a moderator:
Wadanganyika tatizo letu huwa tunapumbazwa na vitu vidogo..!! Rais kuwamwaga hawa jamaa huku mitaani watu wameriziika na kuwasifu magamba..!! So im doubting kama kweli hawa jamaa hata kama watapelekwa mahakamani mambo hayatakua ka yakina yona o prof mahalu...!! This is shameful mpaka presidaa mstaafu anatetea wezi....!! ifike kipindi tuache kulindana jamani, mtu awajibishwe and ikiwezekana wanyongwe..!! Hizi tamaa zinatoka wapi, me naamini pesa anazopata from vikao na safari za kila siku na posho ya uwaziri + ubunge na mshahara zinatosha kumfanya mtu awe rich enough...!! Wasipowajibishwa hawa hii ndo itakua sanda ya kuzika magamba yaliyobakia 2015...!!

Mtemakuni............wafike tu huko khalafu mengineyo tutajaziliza wenyewe ila wasipofika kazi yote hii ni changa la macho tu
 
Last edited by a moderator:
uko sawa maige hana uwezo wa kuongoza huenda JK alitegemea yeye na Ngeleja ni vijana wangebeba chama wao wakatanguliza maslahi yao mbele. shame on him.

peter tumaini...spot on
 
Last edited by a moderator:
I knew utatoka kapa! teh teh teh!

Eddie serious speaking.......................how much did maige paid you to distract us this very vital subject of his accountability..............................kuwa muwazi we know you have to make ends meet.............
 
Last edited by a moderator:
kwa upeo wako, inawezekana kabisa wewe ndiye mfagizi wa "Nyumba ya Kifisadi" ya Maige, subiri upepo utawavumia wote wa dizaini yako

bdo inabidi umwelewe Eddie kazi yake ni kutuvuruga tuache kujadili maige tuanze kumjadili yeye..........jambo ambalo hatutalikubalia abadilishe somo kwa kuingiza upumbavu wake humu kwa kujidai kuna kitu anajua kumbe hakuna ajuacho hata chembe ile.......
 
Last edited by a moderator:
very well said Ruta. unajua Ruta, hata kwa kumtazama tu Maige unagundua hana uwezo mkubwa wa kurationalise vitu. na ni kweli atakapobanwa na sheria, lazima radiator yake itachemsha tu. kwangu mimi huyu jamaa aliuvamia ulaji kwa pupa (kwa mapungufu yake ya kurationalise) na kwa uhakika hawa ndo wale watakaoona moto wa sheria na kuwa watu wa kutolewa mifano ya 'mapambano' dhidi ya rushwa wakati ya awamu hii ya uongozi!!! huyu si mwanasiasa nguli wa kusema akitiwa ndani atasababisha mpasuko wa aina yoyote kwa watawala/chama chao!
 
Utumbo mtupu! ndio umeandika nini sasa? unai aibisha JF
Tupatie hayo maini basi au walau steki mkuu... usizarau utumbo wakati hata uwezo wa kununua kongoro huna.
Maige ni lazima akili kuwa ame-prove failure hasa kwa umri wake. Tulitegemea watu wa umri wake ndio wangekuwa chachu ya change katika nchi hii, lakini badala yake amefuata mkumbo wa kuongoza bora liende na kuanza kujilimbikizia mali. shame on you hon. Maige
 
tatizo la watanzania tulio wengi hatuna self discipline, leo tunaweka sheria kesho tunazivunja tena kwa vifijo, leo tunaunda vyombo mbalimbali vya kuangalia nidhamu ya utendaji kesho tunakumbatia watendaji wabovu, lakiniyote haya ni kwa kuwa kuanzia ngazi ya juu mfumo wote umeoza sasa nani amtoe funza mwenzake??!! maige ni live example, amekurupuka sana kula bila kunawa mikono, tena mpaka anapaliwa!!
 
Eddie serious speaking.......................how much did maige paid you to distract us this very vital subject of his accountability..............................kuwa muwazi we know you have to make ends meet.............

Same amount ya ulizolipwa wewe kuandika utumbo wako......
 
Maige alipanda na sasa anavuna... kama Takukuru wakimsomba nadhani hapo atakua Anavunwa..... Tusubiri tuone mwisho wake...
 
Naamini kuna ukweli katika msemo huu..'some people are not deserve to live but killing them is illegal'..this can be applicable to most of our politicians nafikiri itabidi tu-legalize kuwachinjia mbali hawa wanasiasa wetu wanaojali matumbo yao~!
 
Back
Top Bottom