Eeeh Chaimaharage Samahani naomba kuuliza swali, ni kuhusu hio Avatar yako. mweeehAcha kuponda mawazo ya mwenzio, utumbo gani alioandika? yote aliyosema ni kweli! au hufuatilii matukio na taarifa mbali mbali? Kwani siku ana jitetea bungeni akitaja jina la Mungu hukumuona wala kumsikia? Aliye andika namsifu sababu ana kumbu kumbu nzuri. UTUMBO NI WEWE MNAO JAZA JF KWA MAWAZO MGANDO NA UWEZO FINYU WA KUFIKIRI KABLA HAMJA CHANGIA THREAD ZA WATU.
Utumbo mtupu! ndio umeandika nini sasa? unai aibisha JF
Inaonyesha ulijiunga JF ili kusoma hoja na comments za wengine. Nakushauri uendele hivyo hivyo kwani kutoa hoja au kucomment kwako ni kazi ngumu mno.Utumbo mtupu! ndio umeandika nini sasa? unai aibisha JF
Utumbo mtupu! ndio umeandika nini sasa? unai aibisha JF
Maige anapaswa ashtakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi, asimame kizimbani aieleze mahakama na watanzania ni nani alitorosha wanyama hai wapatao 120 akiwamo twiga kwenda nje ya nchi, ajibu kuhusu ufisadi wa kutisha TANAPA, ajibu kuhusu ugawaji holela wa vitalu vya kuwindia, ajibu kuhusu ufisadi wa kutisha mamlaka ya hifadhi Ngorongoro........
Kijana Eddie unafikiri kwakutumia MASABURI...????au akili zako zimehamia kwenye MASABURI...??
Ruta katika mabaraza ya mawaziri yaliyopita hakuna waziri alionyesha wizi wa waziwazi kama Maige! Ilifikia mpaka madalali walikua wanamgombania kama mpira wa coner! kwakua jamaa alikua akionyeshwa nyumba tena iko finished jamaa alikua anatoa cash bila malumbano hata JK alisema kuna waziri kamuaibisha mno! Huyu ndie bwana mdogo Maige kutoka kwenye ubunge na kua waziri kwa kipindi kisichozidi miaka miwili na kua milionia.
Rutashubanyuma.
Katika Mawaziri vijana waliomuangusha JK ni huyu Maige pamoja na Ngeleja. Huwezo wao ni mdogo sana kuongoza wizara.
Hivi tuseme alikuwa kipanga fulani pale IFM?Huyu jamaa wakati anasoma plae IFM hakuwai kuwa kiongozi,alikuwa msongo wakupenda kusoma kwa mashindano,alikuwa ni anti social kabisa,na shangaa sana siasa kaijulia wapi,labda ukubwani au...maana wanasiasa wazuri huwa waanzia mashule,ila ndio kashapotea tena arudi kwa Msasila akafundishe masomo ya jioni......ila kwake kama kijana ni msikitiko sana ndani ya mwaka mmoja kama full minister kachemsha vibaya mmno....
ritz itafika mahali JK itabidi atueleze vigezo anavyovitumia kuteua wateule wake....................maana naona huteua watu kimzahamzaha au naye hunufaika na huu ufisadi kwani kama Bunge na CAG wasingelimshinikiza basi JK angefumbia macho madudu haya yote...........
Yale yale! full utumbo