ngombelee
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 376
- 285
UPENDO ni ubeti unaotamkwa sana, mpaka sasa hajulikani ni nani alieutunga!
PENZI ni hadithi iliyosimuliwa toka zamani na mpaka hivi sasa hajukani nani muhusika, ndomana kila mwenye KUPENDA au KUPENDWA hana uhakika muda wote anahisi kusalitiwa. PENZI ni kama jengo lilokosa nguzo muda wowote unahisi litadondoka
.....Msinielewe Vibaya Sikatazi Kupenda au kupendwa ila tazama ni wapi UMEPENDA au UMEPENDWA.