Upendo wao udumu maisha yao yote

Upendo wao udumu maisha yao yote

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
20,455
Reaction score
36,449
Nimewapenda bureee Mr and Mrs David😍😍

Mungu awazidishie imani na upendo. Wadumu maisha yao yote.





 
Hao watu upendo wao si wa juu juu nafikiri

Wapo wengi wenye viungo timilifu lakini mapungufu yao ni makubwa na magumu kuliko huyu mwenye upungufu wa uwezo wa miguu

Nampongeza huyo mrembo kwa upendo na busara
 
aise kwani unaumia????
David ameoa
Na apatae mke amepata kitu chema😍😍
 
Mke ni kitu cha thamani na ili adumu anahitaji matunzo
Wewe hata usipompa pesa lakini ukaweza kumtunza kila kitu ni shwari
Utamtunza vipi mke kila kitu bila pesa? Haiwezekani kumtunza mke bila hela.
 
Back
Top Bottom