Upendo wa kweli upo ama ni magumashi?

Upendo wa kweli upo ama ni magumashi?

Mwanamke mwenye mapenzi ya kweli ni mwenye kipato,mwanaume mwenye mapenzi ya kweli ni yule asiye na kitu.
 
Hata kama haumpi pesa mwanamke lakini KAZI ya pesa ni kutengeneza physical appearance ya mwanaume mbele ya mwanamke
 
Mwanaume akipata pesa anatafuta mpenzi mwingine mpya,mwanamke ukifilisika anatafuta nje mwanaume mwingine
 
upendo wakwel haupo,mapenzi ya sasa yamejaa usanii tu
 
Back
Top Bottom