Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,864
- 3,674
Tuna la kujifunza hapa.
Credit :Mtandao wa Quora.
😂😂😂😂😂 daah we jamaa fwala sana.MBWA WA KIZUNGU WANAJIELEWA KAMA WAZUNGU WENYEWE,ANGEKUWA MBWA WA KIMATUMBI MAPEMA TU ASHAMLA HUYO BATA
Kwa kule kwetu bata huwa hatumzungumzii sanaHivi nyama ya bata na nyama ya mbwa ipi TAMU??
hahhahahhahaaMBWA WA KIZUNGU WANAJIELEWA KAMA WAZUNGU WENYEWE,ANGEKUWA MBWA WA KIMATUMBI MAPEMA TU ASHAMLA HUYO BATA
Niliona mbuga flani huko South Africa mtoto wa tembo aliokolewa baada ya mama yake kuuwa na wawindaji haramu. Wanasema ni vigumu sana kumlea asipokuwa na mama yake, kwanza anagoma kula na anakuwa na mawazo sana. Hivyo walihisi atakufa tu, lakini kuna mbwa pale mbugani akajenga urafiki na huyo mtoto wa tembo, akaanza kula upya na kuwa mwenye furaha. Muda wote wako wote, wanacheza wanakimbizana wanalala wote.Huyu mbwa anaitwa George. Hana furaha na mawazo baada ya kumpoteza rafiki ake wa miaka 12, aitwaye Labrador. Haijulikani baadae kuwa huyu bata alitokea wapi . Inaonekana alitokea kujua hali ya huzuni aliyonayo huyu mbwa . Aliguswa sana na majonzo yake. akaamua kulala karibu nae kumfariji. Inashangaza sana bata kuja nyumbani kwako na kuchangamana na mbwa wako. Haijulikani huyu bata alitokea wapi ila tangu amekuwa karibu nae,George amekuwa halii tena.Toka baada ya hapo George anatabasamu tena.
Tuna la kujifunza hapa.
Credit :Mtandao wa Quora.
InterestingNiliona mbuga flani huko South Africa mtoto wa tembo aliokolewa baada ya mama yake kuuwa na wawindaji haramu. Wanasema ni vigumu sana kumlea asipokuwa na mama yake, kwanza anagoma kula na anakuwa na mawazo sana. Hivyo walihisi atakufa tu, lakini kuna mbwa pale mbugani akajenga urafiki na huyo mtoto wa tembo, akaanza kula upya na kuwa mwenye furaha. Muda wote wako wote, wanacheza wanakimbizana wanalala wote.
Wanyama wanaelewana huenda wanakuwaga wanapiga story pia.
Ha ha ha!angekua saizi anashushia konyagi tu baada ya kumlaMBWA WA KIZUNGU WANAJIELEWA KAMA WAZUNGU WENYEWE,ANGEKUWA MBWA WA KIMATUMBI MAPEMA TU ASHAMLA HUYO BATA
Waulize waheheHivi nyama ya bata na nyama ya mbwa ipi TAMU??
Dah! Aisee nmecheka sanaMBWA WA KIZUNGU WANAJIELEWA KAMA WAZUNGU WENYEWE,ANGEKUWA MBWA WA KIMATUMBI MAPEMA TU ASHAMLA HUYO BATA