Upendo ni zawadi

Ni kweli usemacho '... hilo haswaa hujiri kwa wale ambao bado hawaja zizoea sarakasi za mapenzi
 
Kuna mtu unaweza ukampenda sana na ukaonyesha upendo wote kumbe anakereka.

Well noted!
Nkiangalia naona mwanaume ndo wanaumwa na wadada ndo wapo kuhakikisha, Ina maana mwanaume ana hela sana sasa mdada yupo kuskilizia ili akachukue urithi
 
Siungemwambia tuu. Hukua unampenda ndio maana alikua anajilazimisha kwako... sio vizuri
 
Hahaha. ..nafuu hata ya hao wanao sikilizia kwa kukaa ubavuni kabisa kwa mgonjwa --huku wakisubiri avute wavute Chao. ...

Hawa wa huku kwetu --wakati wewe una umwa mahututi ---wao utawakuta wapo busy mitaani na sehemu mbali mbali za starehe wa kila Bata ---halafu siku ukifa wanaanza kulia 'na ku-post insta picha zilizoambatana na maneno ya simanzi
Nkiangalia naona mwanaume ndo wanaumwa na wadada ndo wapo kuhakikisha, Ina maana mwanaume ana hela sana sasa mdada yupo kuskilizia ili akachukue urithi
 
Nkiangalia naona mwanaume ndo wanaumwa na wadada ndo wapo kuhakikisha, Ina maana mwanaume ana hela sana sasa mdada yupo kuskilizia ili akachukue urithi
Kwa hiyo siyo upendo mkuu?
Wanasubiria ataukata saa ngapi[emoji23][emoji23]
 
Tatizo anaepewa thamani, je naye anatambua kua anathaminika hapo ndio mbombongafu
Sasa huo unakua sio upendo bali biashara...! Upendo wa kweli ni unapenda bila kutegemea return yeyote...! Usimpende mtu ili na yeye akupende, au ili upate chochote kutoka kwake, ukifanya hivyo utakua sio upendo wa kweli....
 
He he he Hii ngumu kumeza
Sasa huo unakua sio upendo bali biashara...! Upendo wa kweli ni unapenda bila kutegemea return yeyote...! Usimpende mtu ili na yeye akupende, au ili upate chochote kutoka kwake, ukifanya hivyo utakua sio upendo wa kweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…