Upendo ni pesa, Pesa ni upendo

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,045
10,469
Kuna wakati wanawake wanakuwa ahead of time kwenye kugundua mambo refer ulaji wa tunda katika bustani ya Eden usikute hata Adam mwenyewe alikuwa hata hajui location ya mti wa matunda ulipo.

For the long period of time pamekuwa na malalamiko dhidi ya wanawake kutumia kigezo cha pesa kuingia kwenye mahusiano. But kiukweli ukiangalia uhalisia ulivyo utajagundua they are very right.

Upendo ni pesa, Pesa ni upendo. Ukimpenda mtu iwe mke, mtoto, au mzazi lazima uhakikishe ana easy access ya mahitaji yake muhimu kama mavazi, makazi na chakula bila kusahau usalama na Afya yake. Je ni kivipi utaweza kutimiza mahitaji yao kama huna pesa? So ukikosa pesa automatically unaonekana ni careless na ukishakuwa careless it's means huna upendo.

wanawake wana stress za mchezo na marejesho ya vikoba na at same time anataka kusuka, ale na avae mwanamke wa design hii ukienda kumwambia unampenda bila ya kumpa pesa anaona kama unamdhihaki tu.

Imagine mzazi wenu kalazwa bill ya hospital inahitajika kulipwa unaambiwa unajibu huna pesa akatokea mdogo wako ambaye mnajua hana mapenzi ya dhati na mzazi ila kutokana na financial status yake akaclear bill nani ataonekana ana upendo?

Mimi leo nikiulizwa nini maana ya upendo nitajibu Kwa confidence Tena loud and clear kuwa upendo ni pesa, Pesa ni upendo.
 
Ujinga kama huu ndo unawafanya dada zetu wawe ombaomba na walipofanikiwa kwenye omba omba wanaenda kwenye option no. 2 kuuza papuchi directly au kwa dizaidi fulani!

Habari ya vicoba na michezo inahusiana vipi na mapenzi? Alipokuwa anaanza kucheza na alipokopa alijua atarudishaje? Stop making women beggars!

Yaani kama unawaza kumpa mpenzi wako hela ndiyo care basi mahusiano yako ni ya kipumbavu kabisa, na kwa kukukumbusha tuu ni kwamba pesa huwa zinaisha, hata wawekezaji huwa wanafirisika, sasa wewe tumia pesa kuonyesha upendo halafu ukifulia uje unalia lia hapa tutakutia tofali.

Sisi kwenye familia majukumu yetu yanafanya kwa kujitoa kwa moyo na sio kwa kiasi cha fedha, nigga you need to grow up!
 
Majukumu unayafanya Kwa kujitoa Kwa moyo unatumia nini kama sio pesa?

Huu sio ujinga kama unavyofikiri ni facts may be Kuna wakati utafika utagundua pesa kwenye upendo ina impact kubwa sana ina decide quality ya upendo utayopokea kutoka Kwa mwenza wako.
 
Chief, ulichoambiwa ni kweli. Jaribu kukua. Mwanamke hatulii kwasababu ya pesa, so relax na ufikirie. Fact ni kwamba pesa anatumika as a middle man kutimiza majukumu, ila kamwe usiishi kama digidigi yaani mtu wa bahati kana kwamba middle man akikatwa basi kazi imeisha. The middle man is just a middle man. Pesa zinaishaga ila huoni mzazi akiacha kumtunza mwanae, there is a foundation before the middle man comes into play. Really grow up!
 
Kuna wakati wanawake wanakuwa ahead of time kwenye kugundua mambo refer ulaji wa tunda katika bustani ya Eden usikute hata Adam mwenyewe alikuwa hata hajui location ya mti wa matunda ulipo.

Foa mzazi ila kutokana na financial status yake akaclear bill nani ataonekana ana upendo?

Mimi leo nikiulizwa nini maana ya upendo nitajibu Kwa confidence Tena loud and clear kuwa upendo ni pesa, Pesa ni upendo.
Upendo ni kutoa zaidi kuliko kupokea.
 
Chief, ulichoambiwa ni kweli. Jaribu kukua. Mwanamke hatulii kwasababu ya pesa, so relax na ufikirie. Fact ni kwamba pesa anatumika as a middle man kutimiza majukumu, ila kamwe usiishi kama digidigi yaani mtu wa bahati kana kwamba middle man akikatwa basi kazi imeisha. The middle man is just a middle man. Pesa zinaishaga ila huoni mzazi akiacha kumtunza mwanae, there is a foundation before the middle man comes into play. Really grow up!
Ni vipi unaweza kutimiza majukumu pasipo pesa?
 
Ujinga kama huu ndo unawafanya dada zetu wawe ombaomba na walipofanikiwa kwenye omba omba wanaenda kwenye option no. 2 kuuza papuchi directly au kwa dizaidi fulani!

Habari ya vicoba na michezo inahusiana vipi na mapenzi? Alipokuwa anaanza kucheza na alipokopa alijua atarudishaje? Stop making women beggars!

Yaani kama unawaza kumpa mpenzi wako hela ndiyo care basi mahusiano yako ni ya kipumbavu kabisa, na kwa kukukumbusha tuu ni kwamba pesa huwa zinaisha, hata wawekezaji huwa wanafirisika, sasa wewe tumia pesa kuonyesha upendo halafu ukifulia uje unalia lia hapa tutakutia tofali.

Sisi kwenye familia majukumu yetu yanafanya kwa kujitoa kwa moyo na sio kwa kiasi cha fedha, nigga you need to grow up!
Safi sana baba wille, sijui unatumia kinywaji gani
 
Upendo ni kujitoa iwe kwa furaha au huzuni. Just being there for someone else katika hali au mali.

Pesa ni kama chumvi tu, hunogesha ladha ya mboga ila haimaanishi mboga ikiwa haina chumvi hailiki.
 
Kuna wakati wanawake wanakuwa ahead of time kwenye kugundua mambo refer ulaji wa tunda katika bustani ya Eden usikute hata Adam mwenyewe alikuwa hata hajui location ya mti wa matunda ulipo.

For the long period of time pamekuwa na malalamiko dhidi ya wanawake kutumia kigezo cha pesa kuingia kwenye mahusiano. But kiukweli ukiangalia uhalisia ulivyo utajagundua they are very right.

Upendo ni pesa, Pesa ni upendo. Ukimpenda mtu iwe mke, mtoto, au mzazi lazima uhakikishe ana easy access ya mahitaji yake muhimu kama mavazi, makazi na chakula bila kusahau usalama na Afya yake. Je ni kivipi utaweza kutimiza mahitaji yao kama huna pesa? So ukikosa pesa automatically unaonekana ni careless na ukishakuwa careless it's means huna upendo.

wanawake wana stress za mchezo na marejesho ya vikoba na at same time anataka kusuka, ale na avae mwanamke wa design hii ukienda kumwambia unampenda bila ya kumpa pesa anaona kama unamdhihaki tu.

Imagine mzazi wenu kalazwa bill ya hospital inahitajika kulipwa unaambiwa unajibu huna pesa akatokea mdogo wako ambaye mnajua hana mapenzi ya dhati na mzazi ila kutokana na financial status yake akaclear bill nani ataonekana ana upendo?

Mimi leo nikiulizwa nini maana ya upendo nitajibu Kwa confidence Tena loud and clear kuwa upendo ni pesa, Pesa ni upendo.
Pesa zikiisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom