Umeshawahi kuona mtu kashindwa kumove on? That's love tena unconditional. Sio kwamba love imepungua inakuwa huna jinsi. Kuna infantuation ambayo inaweza kugeuka kuwa upendo sawa lakini Huwa inafifia na kupetea with time. Hasa wanawake wengi hupenda wanaume Kwa vitu walivyo nao, baadae inakua kama yupo kifungoni au vise versa Kwa mwanaume kafuata makalio au uzuri wa nje.Umeniquote vibaya sijasema matamanio nimesema mategemeo
upendo wowote huwa unaishi kwa mategemeo, pale mategemeo yanapoanza kupungua basi na upendo unapungua, ndio maana watu wakiachana kauli kama haupo kama nilivyotarajia huwa zinahusika, sababu ulitegemea kitu fulani kwake na kama huwezi kukipata tena basi upendo unaisha
Ukitaka kupima upendo hakikisha kwanza kama hauna upwiru/ nyegeUmeshawahi kuona mtu kashindwa kumove on? That's love tena unconditional. Sio kwamba love imepungua inakuwa huna jinsi. Kuna infantuation ambayo inaweza kugeuka kuwa upendo sawa lakini Huwa inafifia na kupetea with time. Hasa wanawake wengi hupenda wanaume Kwa vitu walivyo nao, baadae inakua kama yupo kifungoni au vise versa Kwa mwanaume kafuata makalio au uzuri wa nje.
Hii ni kama ulikuwa unakula keki ya kwanza ukaona ni nzuri ukachukua nyingine ni nzuri unataka kuchukua ya tatu unazuiliwa kuchukua hii inamaana bado akili yako inategemea kitu fulani kwenye ile keki ila umeikosa ghafla hivyo ili akili iwe sawa itachukua mudaUmeshawahi kuona mtu kashindwa kumove on? That's love tena unconditional.
Hii unaweza kuona unapenda vitu vya kuonekana ila psychological kuna kitu unakitafuta aidha furaha, amani, usalama, mwanamke anapochagua pesa ni kwa sababu ya anahisi atapata usalama ila anapoona hakuna usalama ndio anapondoka, wanaume anapochagua uzuri wa nje kama sura, umbo ni kwa sababu psychological ubongo umeprogramiwa toka zamani kuwa huyo ndio atakuwa na afya nzuri utapata watoto wasio na magonjwa ya kurithiHasa wanawake wengi hupenda wanaume Kwa vitu walivyo nao, baadae inakua kama yupo kifungoni au vise versa Kwa mwanaume kafuata makalio au uzuri wa nje.
😁🤣🤣🤣Pia Upendo Wela ni mtangazaji wa TBC Taifa 😎.
📌📌📌Hapo Kila mtu atakuja na maneno, which is nothing, hakuna maana kwenye emotion. Depth ya hisia haiwezi kuelezeka. Ni nature, na sometimes tunafeel vitu based on past experiences, what we see and how we were raised. Kwa hiyo it is what it is.
Dah 😄Kama huyo mtu sio ndugu yako na ni wa jinsia ya kike kwa sisi wanaume, upendo ni upwiru na nyege tu ,.
Ila ukimpenda mtu unakuwa una wivu na yeye, hutaki awe na mtu mwingine.Actually Upendo hauna Wivu.
Ukiona una wivu hujapenda, ni ubinafsi tu umejificha kwenye picha ya upendo.
"Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni."
1Wakorintho.13.4.BHN
Sasa hapo una describe matamanio. Upendo ni kitu tofauti. Hizo animal instincts hata Bata anazo.Hii ni kama ulikuwa unakula keki ya kwanza ukaona ni nzuri ukachukua nyingine ni nzuri unataka kuchukua ya tatu unazuiliwa kuchukua hii inamaana bado akili yako inategemea kitu fulani kwenye ile keki ila umeikosa ghafla hivyo ili akili iwe sawa itachukua muda
Hii unaweza kuona unapenda vitu vya kuonekana ila psychological kuna kitu unakitafuta aidha furaha, amani, usalama, mwanamke anapochagua pesa ni kwa sababu ya anahisi atapata usalama ila anapoona hakuna usalama ndio anapondoka, wanaume anapochagua uzuri wa nje kama sura, umbo ni kwa sababu psychological ubongo umeprogramiwa toka zamani kuwa huyo ndio atakuwa na afya nzuri utapata watoto wasio na magonjwa ya kurithi
Ndo sio Upendo huo ni ubinafsi.Ila ukimpenda mtu unakuwa una wivu na yeye, hutaki awe na mtu mwingine.