moses musa
Senior Member
- Apr 25, 2017
- 164
- 97
Wakuu nina mwanamke, akiwa period ananiambia ikifika siku ya mimba anapotea.
Tumekubaliana kupata mtoto, ila anashida na pesa zangu. Nikimwambia mimi na wewe basi anaugua, hapendi nimuache.
Nifanyeje namuonea huruma
Jion njema
Tumekubaliana kupata mtoto, ila anashida na pesa zangu. Nikimwambia mimi na wewe basi anaugua, hapendi nimuache.
Nifanyeje namuonea huruma
Jion njema