Nimepigwa na askari bila kosa lolote, nifanye nini?

Choosen85

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
563
1,364
Wakuu mmebarikiwa sana?

Nina biashara zangu ikiwemo ya ma pool table kuna sku moja askali polisi alikuja kijiweni mida ya jion alikuta watu tunapga story sana za kubishana khs vita ya urusi na ukraine na huko middle east.

Si akajingzamo akawa upande mwngne ambao bnafs siungi mkono tumebshana akawa anaongea pumba tu sjui alidhan nitaogopa kumjbu akaropoka eti Korea Kaskazini ameteka ndege 4 za Marekani nikamjbu dry ni ndege zp hzo mbuni au kanga?

Kumbe akamind bhana, zkapta kama sku 4 akiwa na wenzake wanazunguka uko ktaa asbh kwa ksngzio eti wanakamata wazurulaji si ndio akawaleta pale kwny biashara zng aktegemea atanikuta kumbe mi nlikua job naendaga pale jioni.

Basi wakamkuta dogo anafanya usafi wakamuuliza nko wp dogo akawambia nipo job bs wakamtenda dogo wapendavyo wakabeba stick na ile mipra na dogo mwnyw wakampa kes eti anachezesha pool asbh kumbe lengo wanataka m niende kwel nlienda nlpofka yule polis nliyebshana nae akanidaka kaa chn mara buti na makofi wenzke wakamkemea aniache akaacha.

Je, wadau nifanyeje?
 
Kama ni wa hapo hapo kitaa usiwe na jazba kaa kama mwezi hivi au miezi miwili baada ya mvizie mtandike bonge la jiwe tena la kichwa

Hii mbinu nlikua naitumia nkiwa dogo nkionewa na mabroo badae wakajaga kusanuka nachowafanyiaga heshima ikachukua mkondo wake
 
Hukuwahi kuua kwa namna hiyo kweli?
 
Kama ni wa hapo hapo kitaa usiwe na jazba kaa kama mwezi hivi au miezi miwili baada ya mvizie mtandike bonge la jiwe tena la kichwa

Hii mbinu nlikua naitumia nkiwa dogo nkionewa na mabroo badae wakajaga kusanuka nachowafanyiaga heshima ikachukua mkondo wake
Ushauri mzuri sana huu....
 
Wakuu mmebarikiwa sana?

Nina biashara zangu ikiwemo ya ma pool table kuna sku moja askali polisi alikuja kijiweni mida ya jion alikuta watu tunapga story sana za kubishana khs vita ya urusi na ukraine na huko middle east.

Si akajingzamo akawa upande mwngne ambao bnafs siungi mkono tumebshana akawa anaongea pumba tu sjui alidhan nitaogopa kumjbu akaropoka eti Korea Kaskazini ameteka ndege 4 za Marekani nikamjbu dry ni ndege zp hzo mbuni au kanga?

Kumbe akamind bhana, zkapta kama sku 4 akiwa na wenzake wanazunguka uko ktaa asbh kwa ksngzio eti wanakamata wazurulaji si ndio akawaleta pale kwny biashara zng aktegemea atanikuta kumbe mi nlikua job naendaga pale jioni.

Basi wakamkuta dogo anafanya usafi wakamuuliza nko wp dogo akawambia nipo job bs wakamtenda dogo wapendavyo wakabeba stick na ile mipra na dogo mwnyw wakampa kes eti anachezesha pool asbh kumbe lengo wanataka m niende kwel nlienda nlpofka yule polis nliyebshana nae akanidaka kaa chn mara buti na makofi wenzke wakamkemea aniache akaacha.

Je, wadau nifanyeje?
Hapo kwenye ndege mbuni au kanga nimecheka Kweli Kweli mpaka muda huu nipo nachekaa vijana mna majibu dry sanaaa🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣😂😂😂
 
Wakuu mmebarikiwa sana?

Nina biashara zangu ikiwemo ya ma pool table kuna sku moja askali polisi alikuja kijiweni mida ya jion alikuta watu tunapga story sana za kubishana khs vita ya urusi na ukraine na huko middle east.

Si akajingzamo akawa upande mwngne ambao bnafs siungi mkono tumebshana akawa anaongea pumba tu sjui alidhan nitaogopa kumjbu akaropoka eti Korea Kaskazini ameteka ndege 4 za Marekani nikamjbu dry ni ndege zp hzo mbuni au kanga?

Kumbe akamind bhana, zkapta kama sku 4 akiwa na wenzake wanazunguka uko ktaa asbh kwa ksngzio eti wanakamata wazurulaji si ndio akawaleta pale kwny biashara zng aktegemea atanikuta kumbe mi nlikua job naendaga pale jioni.

Basi wakamkuta dogo anafanya usafi wakamuuliza nko wp dogo akawambia nipo job bs wakamtenda dogo wapendavyo wakabeba stick na ile mipra na dogo mwnyw wakampa kes eti anachezesha pool asbh kumbe lengo wanataka m niende kwel nlienda nlpofka yule polis nliyebshana nae akanidaka kaa chn mara buti na makofi wenzke wakamkemea aniache akaacha.

Je, wadau nifanyeje?
samehe na usahau, mbingu si hasira wataingia watakatifu.....

Potezea na usonge mbele kwa bidii.....
 
Yashapita kausha
 
Back
Top Bottom