Upendo huu sio wa kawaida, nifanye nini?

moses musa

Senior Member
Apr 25, 2017
164
97
Wakuu nina mwanamke, akiwa period ananiambia ikifika siku ya mimba anapotea.
Tumekubaliana kupata mtoto, ila anashida na pesa zangu. Nikimwambia mimi na wewe basi anaugua, hapendi nimuache.

Nifanyeje namuonea huruma
Jion njema
 
kwa kuwa usha fahamu ana shida na pesa basi mpatie pesa, mpe zaidi na zaidi

asa aache kuugua wakati anapenda pesa zako, endelea kumpa pesa mpaka utakapo pata akili nini ufanye
 
Wakuu nina mwanamke, akiwa period ananiambia ikifika siku ya mimba anapotea.
Tumekubaliana kupata mtoto, ila anashida na pesa zangu. Nikimwambia mimi na wewe basi anaugua, hapendi nimuache.

Nifanyeje namuonea huruma
Jion njema
Mbona simpo, akiwa kwenye siku za mimba mwambie aje kuchukua pesa, tena muahidi pesa nyingi tu, tena mwambie aje usiku maana mchana kutwa utashinda kazini. akija mbake kisha mpe mimba na hela alojia.
 
Wakuu nina mwanamke, akiwa period ananiambia ikifika siku ya mimba anapotea.
Tumekubaliana kupata mtoto, ila anashida na pesa zangu. Nikimwambia mimi na wewe basi anaugua, hapendi nimuache.

Nifanyeje namuonea huruma
Jion njema
pata ushauri kutoka kwa mama Na baba yako utakusaidia zaidi
 
Sasa haujamuoa umzalishe afu aje kuitwa single mother!! Nenda kajitambulishe kwao toa mahari uone kama atakimbia!
 
Wote hamjielewi, wewe upo after mtoto na yeye yupo after money.

Unawezaje kumwacha mwanamke kisa hataki kushika mimba ilhali ukijua sio mkeo? Halafu ushajua yupo after money still you want to get a baby with her, are you ok upstairs kweli? Kabla hujawaza huo ujinga ushajiuliza ni familia ya namna gani unataka kuitengeza, yani baba yupo na mwanamke kwajili ya kuzalisha na sio upendo na mama yupo kwajili ya pesa na sio upendo, yan bora muachane coz namhurumia huyo mtoto, wazazi wake wote watakua magalasa.

you should grow up bro, tafuta upendo sio mtoto coz mtoto ni matokeo tu na pia ni mipango ya Mungu, so anaweza kuja hizo siku za hatari na asipate mimba vilevile kama Mungu hajapenda, what will you do then? am sure you will dump her.
 
Wakuu nina mwanamke, akiwa period ananiambia ikifika siku ya mimba anapotea.
Tumekubaliana kupata mtoto, ila anashida na pesa zangu. Nikimwambia mimi na wewe basi anaugua, hapendi nimuache.

Nifanyeje namuonea huruma
Jion njema
Una umri gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom