Upendeleo nssf

Upendeleo nssf

Status
Not open for further replies.
ahsante sana kwa utafiti mzuri ila nahofu hujakamilisha utafiti wako. labda una hofu na shungi kitu ambacho ni kweli zikikaa shungi tano zinaonekana sana kuliko vimini 50. kama si majungu unaleta hapa kama kina mama kisimani.

naomba utupe data hizi.

nssf ina wafanyakazi wangapi, maafisa waangapi, menejiment wangapi,

wakristo wangapi na waislam wangapi na

kada ya chini makarani, madereva, wahudumu wakristo wangapi waislam wangapi,

lete hapa ukipata kada ya maafisa waislam ni zaidi ya 40% nakupa tzs 100,000 cash

vinginevyo hayo ni majungu na udini wako peleka kisimani kwa wanawake wenzio

/kwa vile ninvyoijua nssf, nami naongeza hilo dau kwa TZS 200,000/-, na huyo mdini tunampa siku saba kuweza kupokea hilo dau kama atatimiza hayo maagizo
 
upendeleo gan? Toa mambo ya udini, mmeshindwa kwenye uchaguzi mnaanza kuleta mambo ya udini hapa jamvini. kuvaa shungi ni kosa gani, utaliaka ukute wamevaa vimini ili uangalie mapaja jao au ulitaka ukute wamevaa suruali ili uangalie hipsi zao. kama hauna chakuongea nenda ukalale.
 
Is too bad kwamba ningeleta post ya uongo dhidi ya slaa ingefutwa na ningepigwa ban,mods wako wapi kuufunga uzi huu na kumpa ban aliyeuleta wamiliki wa jf why mnaacha thread za uchonganishi kama hizi hapa watu wabishane why nadhani hamlisaidii taifa kwa kuruhusu mijadala ya kidini na uchochezi ambayo haina ushahidi wowote kama huu hapa hakuna mshindi zaidi ya kutugawa watanzania kumbukeni hata rwanda vyombo vya habari vilichochea kwa kuruhusu mijadala kama hii
 
upendeleo gan? Toa mambo ya udini, mmeshindwa kwenye uchaguzi mnaanza kuleta mambo ya udini hapa jamvini. kuvaa shungi ni kosa gani, utaliaka ukute wamevaa vimini ili uangalie mapaja jao au ulitaka ukute wamevaa suruali ili uangalie hipsi zao. kama hauna chakuongea nenda ukalale.
 
Mwanzilishi hapingi kazi nzuri zinazofanywa na nssf bali ajira za upendeleo.we uloweka data za ujenzi hebu weka na za ajira zilizofanyika kwa kipindi chake hasa kipindi cha jk
 
upendeleo gan? Toa mambo ya udini, mmeshindwa kwenye uchaguzi mnaanza kuleta mambo ya udini hapa jamvini. kuvaa shungi ni kosa gani, utaliaka ukute wamevaa vimini ili uangalie mapaja jao au ulitaka ukute wamevaa suruali ili uangalie hipsi zao. kama hauna chakuongea nenda ukalale.

mapaja yao mbona yanatundikwa tu huko gesti kama kwenye mada iliyopita jamaa alieleza alivyomfumua mafla shungi wa kaunta ubungo.pamoja na nguo ndefu ni mafirauni wakubwa hata maofisini wanavuana hayo mashungi.
 
Hawa jamaa sikukuu za kikristo ofisi zote za serikali zinapambwa maua mnamkataba mou mnachukua pesa serikalini kodi tunalipa wote muulizeni slaa ile hospital ya anayoiongoza ya ccbrt nusu ya mishahara ya wafanyakazi inalipa serikali sioudini huo we umeona shungi nusu ya bajeti ya wizara ya afya inakwenda ktk hospital za kanisa kodi tunalipa sote, nikikwambia mambo mengi nitaliza watu jamvini humu
 
Ofisini mtu akivaa ushungi ni udini? Vipi TRA, SUMTRA, TANESCO, akuna udini?

siku znahesabika mkuu 2015 mwisho wa huu ujinga iwe kwa ccm au chadema ila adabu itapatkana tu
 
Hawa jamaa sikukuu za kikristo ofisi zote za serikali zinapambwa maua mnamkataba mou mnachukua pesa serikalini kodi tunalipa wote muulizeni slaa ile hospital ya anayoiongoza ya ccbrt nusu ya mishahara ya wafanyakazi inalipa serikali sioudini huo we umeona shungi nusu ya bajeti ya wizara ya afya inakwenda ktk hospital za kanisa kodi tunalipa sote, nikikwambia mambo mengi nitaliza watu jamvini humu

je huduma hamzipati huko sawa?jengeni hospital ili nanyi muingie mou badala ya kukaa vijiwe vya bao na kujenga tu misikiti.hata misikiti yenyewe hamuwezi kujenga hadi ajitokeze gadaf awasaidie.nguvukazi yenu imeishia kujidunga madawa na ndo laana mtakazopata siku si nyingi mtachinjana wenyewe.chezea bangi na heroin
 
Poor mind, huu ndio ufinyu wa fikra , thread kama hizi zinadharilisha imani yako na hivyo kutudharilisha wenzako, ukristo au uislamu hauwezi kuleta maendeleo bali ni watu kuwajibika, kujituma na kuwa waadilifu, Kama nssf inalega lega { kama ni kweli } kwa kuwa na waislamu wengi , tungetegemea Nchi yenye zaidi ya asimilia 70 waajiriwa wakristo ingekuwa imepiga maendeleo makubwa, na pia unaharalisha madai ya waislamu kuwa uwepo wa idadi kubwa ya waajiriwa wakristo serikalini ni upendeleo kwa wakristo[ kwa kipimo cha umbilikimo wa fikra zako], tuna masuala ya muhimu sana ya kujadili katika taifa letu sio haya ya shungi au vimini.
 
Dr. D amepeleka maombi TPA awe CEO. Nssf ameshafanikisha lengo lake
 
Dr. D amepeleka maombi TPA awe CEO. Nssf ameshafanikisha lengo lake

aende tu huko ili lengo litimie.ila come 2015 hakuna cha dau tena ndo maana miradi mikubwa ya ten p inafanyika mapema mtu avute chake wagawane na jk.
 
Mods fungeni hii post ya kipumbavu iliyoletwa na mwana JF mpumbavu
 
ha ha ha ha !!! waswahili husema pufokapo moshi ............ fanyeni utafiti wa kina. no research no right to speak/publish
 
Nakumbuka mwaka jana mwana jf mmoja kama sikosei anaitwa kadeco alileta uzi unaozungumzia udini ndani ya nssf. Nakumbuka alishambuliwa sana. Aya na wengine wanamiminika kwa habari hiyo hiyo. ?????????
 
Bado wale wasiovaa ushingi......kuna wenye kuvaa suruali vupi na wanaovaa ndefu, kuna wenye ndevu na kuna wasiochonga...ila idadi yao si proportional na interviews zilizofanyika.
 
Jk alikuja wabana, wakristu, wa kaskazini, na wachaga specifically....mwenyewe anadai bila kuweka usawa "Amani haitakuwepo"...Hao ndio watu walioshindwa jenga jamii wakachagua njia rahisi ambayo ni kubomoa, wanapiga mkwara kuwa bila usawa wataivunja amani.

Wachaga kawabana vipi wakati kila sehemu kawapeni ulaji bwana JK msemee kingine lakini sio hilo la kusema eti amewabana watu wa Kaskazini hata kidogo
 
Wachaga kawabana vipi wakati kila sehemu kawapeni ulaji bwana JK msemee kingine lakini sio hilo la kusema eti amewabana watu wa Kaskazini hata kidogo

Nilishafungulia thread yake..Hao unaowaona ni kwa sababu wachaga ni watu wa "Knockout" si watu wa kutegemea sana decisive wins.
 
Jamani kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia hali ndani ya nssf.hi ni kutokana na uhalisia unapoingia tu ofc yoyote ya nssf hasa hapa dsm.nilipata kwenda ubungo kwa ajili ya kudai hela zangu.welcome note pale ni shungi.bada ya kufuatilia kwa karibu niligundua kuwa ndani ya nssf udini umetamalaki.hii imesababisha hata utendaji kazi kudorora kutokana na upendeleo kwa kundi flani la watu.ajira ni kwa msingi huo huo kwamba kila ajira 100 basi 90 wanapewa watu wa itikadi flani.haya yote kwa utafiti wangu una baraka zote za mkuu eti ndo ku balance.my take,kama nssf shirika la uma wa watanzania wote tunachangia basi nawashauri watu wa imani ya kikristu aidha kutokujisajili na nssf au hata kushiriki shughuli zozote za nssf.
Huo ni udini wako na chuki za kipuuzi ulizonazo dhidi ya imani nyingine,mbona husemi baraza la mitihani lilivyofanywa kuwa ni kigango cha kanisa katoliki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom