Babu wa Kambo
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 559
- 808
zangu zote mbili zipo..... ama ilikuwa mikwara?Tangazo la TCRA lilisema mwisho wa kutumia Simu Feki ni hii leo tarehe 16/06/2016 usiku na saa Sita kamili zitazimwa, je ni wangapi simu zao zimezimwa?
Naomba tufanye Sensa hapa
Mgao umeanzia wapi mkuu kwa mida ya saa sita?Wanazima kwa mgao
Sema kweli mkuu!MIE YANGU IMEZIMWA JAMANI!