Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 13,577
- 18,600
Serikali ya Awamu ya Tano tangu imeingia madarakani imekuwa ikifanya kazi kubwa katika kuhakiksha migogoro ya ardhi nchini inaisha kabisa ama kupungua kwa kiasi kikubwa kupitia mikutano inayofanya na wizara ya Ardhi kwa kushirikina na wananchi wa maeneo husika Wizara hiyo imekuwa ikifanya ziara mbalambali nchini hasa katika maeneo yanayokuwa na migogoro ya ardhi ambapo leo Waziri wa Ardhi akishirikina na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda wamefanya ziara eneo la Gongo la Mboto na kusikiliza kero za ardhi kutoka kwa wakazi wa eneo hilo.