Syosaamenye
Member
- Jun 7, 2012
- 79
- 7
Wanajamii naomba mnisaidie kama TANROADS dSM wameita kwenye Usaili kwa walioomba nafasi zilizotangazwa mapema mwezi wa November niliomba weightbridge Incharge.
Lini mkuu mbona na usaili ulifanyika lini mbona sijapata taarifa.? hatari kweli nchi ishauzwa hii.
ata mm nilituma ila sijapata taarifa yeyote na watu wa dodoma wanafanya wiki hii uku sijui vpAcha jazba mkuu. Yani kukosa kazi kwako ndo unataka kutuaminisha kuwa nchi imeuzwa?Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ata mm nilituma ila sijapata taarifa yeyote na watu wa dodoma wanafanya wiki hii uku sijui vp