Updates za tanroads dsm


S

Syosaamenye

Member
Joined
Jun 7, 2012
Messages
80
Points
70
S

Syosaamenye

Member
Joined Jun 7, 2012
80 70
Wanajamii naomba mnisaidie kama TANROADS dSM wameita kwenye Usaili kwa walioomba nafasi zilizotangazwa mapema mwezi wa November niliomba weightbridge Incharge.
 
jerrytz

jerrytz

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Messages
5,848
Points
2,000
jerrytz

jerrytz

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2012
5,848 2,000
watu washaanza kazi ndugu yangu
 
S

Syosaamenye

Member
Joined
Jun 7, 2012
Messages
80
Points
70
S

Syosaamenye

Member
Joined Jun 7, 2012
80 70
Lini mkuu mbona na usaili ulifanyika lini mbona sijapata taarifa.? hatari kweli nchi ishauzwa hii.
 
S

Sumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
6,832
Points
2,000
S

Sumu

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
6,832 2,000
Lini mkuu mbona na usaili ulifanyika lini mbona sijapata taarifa.? hatari kweli nchi ishauzwa hii.
Acha jazba mkuu. Yani kukosa kazi kwako ndo unataka kutuaminisha kuwa nchi imeuzwa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
M

majidkk

New Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
1
Points
0
M

majidkk

New Member
Joined Dec 19, 2012
1 0
Acha jazba mkuu. Yani kukosa kazi kwako ndo unataka kutuaminisha kuwa nchi imeuzwa?Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ata mm nilituma ila sijapata taarifa yeyote na watu wa dodoma wanafanya wiki hii uku sijui vp
 
S

Syosaamenye

Member
Joined
Jun 7, 2012
Messages
80
Points
70
S

Syosaamenye

Member
Joined Jun 7, 2012
80 70
Sio Jazba mdau ila nahoji mchakato wa upatikanaji wa hao watu waliopata kazi.
 

Forum statistics

Threads 1,285,188
Members 494,498
Posts 30,853,059
Top