Updates za Corona Tanzania

Kuna kitu cha ajabu nimekiona leo na ni muhimu kukiweka hapa.
Kama tujuavyo shule na vyuo vimefungwa kuepusha uenezwaji wa corona.. Ni hatua nzuri ya hadhari.. Lakini hatua hii ikitumika vibaya tutamalizana
Huku Pwani kuna minada na magulio.. Na natambua ni nchi nzima. Japo sehemu zingine ni magulio tu bila minada inayoambatana na karamu za vilevi na nyama choma
Leo ilikuwa ni zamu ya Loliondo Kibaha na machinjioni pia Kibaha
Loliondo ni gulio na machinjioni ni karamu...
Maeneo haya mawili hukusanya watu wengi kwa wakati mmoja wanaotoka nje na ndani ya Kibaha.. Kuanzia wauzaji, wanunuzi, wapataji, wapashaji mpaka watoa huduma wengine
Kwa siku nzima kumekuwa na pilika za ingia toka kwenye hayo maeneo mawili
Watu wote hawa muda huu wamesharejea makwao kukutana na familia zao na kesho baadhi wataenda nyumba za ibada kusali

Najaribu kuwaza umakini wa serikali kwenye kuzuia mikusanyiko kipindi hiki.. Kama leo hii kuna wenye maambukizi kwenye hayo maeneo mawili niliyotaja.. Tutarajie maafa baada ya wiki mbili zinazokuja
Rai yangu ni moja... Kuna magulio na minada kila siku ya wiki.. Bado hatujachelewa sana.. Serikali iweke zuio la muda.. Tutaokoa wengi

Jr[emoji769]
 
*Kwa wale tunaofikiri wagonjwa 19 wa Covid 19 kwa Tanzania bado SIO SERIOUS!![emoji848] Hebu tuangalie wenzengu wa nchi nyingine walikotoka wiki tatu zilizopita*

[emoji634] Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases

[emoji631] United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases

[emoji632] France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases

[emoji629] Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases

[emoji633] Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases

[emoji1130] Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases

South Africa [emoji1221]
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases

*Tupo pale wenzetu walipokuwepo wiki mbili tatu zilizopita.*
*Kama hatutajitahidi kujikinga nasi tutafika huko*.[emoji22]

*Watanzania wenzangu tujitahidi kuzuia muendelezo wa maambukizi ya Covid 19 kwa kuzingatia njia tunazoelekezwa na wizara.* .

*Ni jukumu lako wewe na mimi! Tuzingatie*[emoji1431]

Jr[emoji769]
 
Hii ni kutufahamisha sisi kuwa pH ya virusi vya corona inatofautiana kutoka 5.5 hadi 8.5.

Wote tunahitaji kufanya, kupinga virusi vya corona, tunahitaji kuchukua zaidi ya vyakula vya alkali ambavyo viko juu ya kiwango cha juu cha pH cha Virusi.

Ambavyo ni:

* Limao- 9.9pH *
* Chenza- 8.2pH *
* Parachichi- 15.6pH *
* Vitunguu - 13.2pH *
* Maembe - 8.7pH *
* Tangerine - 8.5pH *
* Mananasi - 12.7pH *
* Dandelion - 22.7pH *
* chungwa - 9.2pH *

Unajuaje kuwa una coronavirus?
1. * Kuwashwa kwenye koo
2. * kukauka koo
3. * Kikohozi kikavu. *
4. Joto kubwa
5. kupumua kwa tabu

kwa hivyo unapoona vitu hivi haraka chukua maji ya moto kiasi weka limao kisha kunywa

Usibakie na habari hii peke yako. Sambaza kwa familia yako yote na marafiki. Mungu akubariki.

Jr[emoji769]
 
“Basi angalieni, siku zinakuja, asema BWANA, ambazo katika siku hizo halitaitwa tena Tofethi, wala Bonde la mwana wa Hinomu bali litaitwa, Bonde la Machinjo; maana watazika watu katika Tofethi, hata hapatakuwapo mahali pa kuzika tena."

'Yeremia 7:32'

Jr[emoji769]
 
Kuna muda nikikaa na kutafakari hizi takwimu. Nakosa tumaini la kesho kwa sisi Afrika ambapo tumeambiwa baada ya wiki tatu nasi tutapata kushuhudia kilele Cha Covid-19. Giants Kama Italy, UK, USA, Spain kwa siku wanaffariko watu sio chini ya 800+ kwa umahiri wao. Mungu atusimamie.

Sijui tukimbilie wapi.

Jirani zetu Kenya nao, naona Mambo yamewakalia vibaya. Pamoja na lockdown lakini new cases zinazidi kukuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mchai mchai ndiyo ulioniokoa na vitunguu swaum.

Unakohoa mpaka damu, kifua kinabana balaa


Sent from my iPhone using Tapatalk
Hii ilikuwa aina nyingine ya covid 19.. homa yake ilikuwa si mchezo.
 
Ukitaka kujua knowledge ya jf, tulia, soma comment moja moja kwa utulivu.Then utajua kama hata humu tuko serous au la.
Mungu ibariki Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inahitajika roho ngumu mno kumwamini mwanasiasa View attachment 1398765

Jr[emoji769]
Hii ndiyo mfano wa deficity and insufficience ya sheria tunazotunga zinakuwa rules and siyo sheria. Sheria lazima iwe ama iangalie exceptions. Magonjwa ya milipuko siyo magonjwa ya kufedhehesha wala kubeza na hivyo kutangaza ilipasa kwa kuwa inaweza kuponya kuanzia familia yake, jiarani yake, wafanyakazi wenzake ama watu wengine tu. Hii sheria inafanya kuwe na deficity ya benefit ya sheria yenyewe katika circumstance ya magonjwa ya milipuko. Magonjwa ya milipuko yana pattern mbaya sana na hayajali na mtu yeyote ni susceptible. Tumeona duniani jinsi hadi wataalamu wa afya wamekwenda tena waliobobea katika virology specifically huyu CORONA wamekwenda. Sasa tunaficha kwa faida ya kuzuia maambukizi au kwa faida ya wizara ya afya au kwa faida ya mgonjwa dhidi ya umati wa wananchi wote? From layman point of view hili haliko sawa hasa katika magonjwa ya milipuko...hii rule irekebishwe iwe sheria including exceptions hizi. Sheria without exception is a blind sheria na hivyo haiwezi kuona haki, ikiwa kipofu atatakiwa kuona dunia itapita na vitu vyake vyote. Sheria inakuwa sheria ikiwa na makali yake, considerate, covering exceptions ili iweze kutoa haki. Hapa kwenye magonjwa ya mlipuko ... hii sheria imetunyima haki watanzania .. hata hii ya kujua tu .. ili kuchukua tahadhari. Tahadhari ni pana na kwanza inahitaji habari kamili na sahihi.. mfano sasa tunaangalia sana na kusema mkuu umetoka nchi zenye mlipuko .. tukupime na tunakushuku kwa hali ya juu zaidi. Sasa hii ni habari inavyoweza kusaidia dhidi ya tahadhari.. pamoja na mambo mengine mfano umri, magonjwa mengine (pre-existing disease conditions) na habari zote zinazopasa kujumuishwa katika tahadhari. Hii ndiyo habari kamili na sahihi. Vinginevyo umri wa mgonjwa pia ni habari ila si kamili, jinale nani, kabila gani, anaishi wapi anafanya nini, amepataje uambukizo, alitembelea maeneo gani kabla na baada ya uambukizo. Nadhani hili lipitiwe upya na waziri mwenye dhamana na awatendee watanzania haki kupitia bunge tukufu?.

Tuendelee na tahadhari, usafi, usafi, usafi, social distancing, stay alert and vigilant, tule milo kamili, tufanye mazoezi, tupumzike vya kutosha, tuwe na muda wa furaha kupunguza stress pia inapunguza kinga ya mwili,

ANGALIZO: Tusiwanyanyapae wale wanaopata maambukizo kwa kuwa siyo self infliction disease na nchi iendelee na mipango yake bora tunayoiona kila kukicha - usiku na mchana

Nawasilisha
 
Common sense is not common anymore. Politics politics politics politics kwenye kilaaa jambo.

Kama mkuu mwenyewe amesema ni pepo usiriaz WA kulitatua hili tutaupata wapi?

Kunawa mikono ndio imekuwa mbiu...kunawa mikono kunawa mikono.. Lakini je nchi kama nchi tumejiaandaaje na hili janga?

Europe yote wanalia, America yote wanalia, Asia yote wanalia...

Sawa tukishanawa mikono ndo basi tena? Vipi mikusanyiko kwenye nyumba za ibada? Mipaka yetu? Japo kwenye suala LA Mipaka tumechelewa.

Elimu bado inahitajika kutolewa kwa raia, wapo wengi bado hawajachukulia usiriaz WA hii pandemic.

Mungu ibariki Tanzania. Mungu nibariki mimi na family yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…