Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 869
- 1,014
Ulimaanisha "kuchana?"Vita ikianza ayatollah atapata wapi muda wa kutana ile midevu
Ulimaanisha "kuchana?"Vita ikianza ayatollah atapata wapi muda wa kutana ile midevu
Kuchana wanatumia sana watu wa Kanda ya ziwaUlimaanisha "kuchana?"
Israel haogopi kitu kinachoitwa Islam au Allah na Akbar anatembeza kichapo tuKwa hii jamba jamba sidhani kama Israeli itarudia kuichokoza iran
Kipigo kinaendelea watajuta hao watu⚡#BREAKING Israel's Netanyahu says a date has been set for a Rafah invasion in Gaza — Reuters
Alikua anatishia kujamba mbele za watu wakati tumbo limechafuka, mwisho atajiharishia.Raia wa Iran waliposikia Ayatollah kachimba biti walicheka sana