LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

Nasikia marekani kahamishia meli zake zile destroyer zote pwani ya israeli zilizolua redsea ๐Ÿคฃ
Mzee taarifa zako unatoa wapi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Marekani kashasogeza meli karibu na pwani ya Israel ikiwemo USS Philippines. Hii ina cruise missiles za kutosha.
 
Israeli hawezi kupigana na Iran bila msaada wa marekani. Naona marekani serikali yote imehamia Tel avivi hapo . Iran kaongea tu imekua tabu simu zinapigwa dunia nzima . Aisee
 
Kama Russia kashindwa kuipiga Ukraine mwenyewe mpaka anaomba msaada NK Na Iran kwann utake Israel ipigane yenyewe?!

Serikali gani iliyohamia Jerusalem wakati Biden yupo zake White House anakunywa Coca-Cola.
 
Iran bila kufadhili na kupigana na Israel kwa mgongo wa proxies kama Hezbollah. Halafu sema Iran kapigwa sio kaongea. Kapigwa pale Damascus.
 
Kama Russia kashindwa kuipiga Ukraine mwenyewe mpaka anaomba msaada NK Na Iran kwann utake Israel ipigane yenyewe?!

Serikali gani iliyohamia Jerusalem wakati Biden yupo zake White House anakunywa Coca-Cola.
Hizi habari za urusi kushindwa kuipiga Ukraine unadanganywa na nani?
 
Attachments

  • Screenshot_20240412_213539_X.jpg
    Screenshot_20240412_213539_X.jpg
    290.9 KB · Views: 2
Kushindwa?!

Soma tena post yangu
Ndio nimesoma umeseme urusi imeshindwa kuipiga Ukraine peke yake. Huu ni uongo urusi hapokei msaada wowote iwe fedha , mamluki au silaha kupigana Ukraine. Israeli mpaka sasa kashapokea zaidi ya dola bilioni 100 kupigana na Hamas hushangai tu ๐Ÿคฃ
 
Hivi zile Shaheed drones zimetoka nchi gani vileeee?!
 
Back
Top Bottom