LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

#BREAKING The British Foreign Office calls on citizens in “Israel” to leave if their stay there is not necessary
 
Tuendelee kuomba amani ila israel nayo iache uchokozi.

Simu zinapigwa kutoka duniani kote kuomba Iran isifanye inachopanga kufanya Israel masaa 24 kutokea sasa.
 
Ayatollah na dela lake kakimbilia kwenye handaki kwa hofu kuu ya kuuawa na Israel, nyang’au sana hili kazi kufadhili magaidi tu
 
😀
Screenshot_20240412_192726_org.telegram.messenger.jpg
 
Iran mwanaume wiki sasa watu wanajamba jamba vikao mpaka usiku wa manane huko israeli .kila mmoja anapiga simu kumsihi asijibu mapigo mwanaume kawaambia wakae tayari lazima ajibu mapigo.
 
Back
Top Bottom