George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,081
- 5,013
Yeah, na mwanzo rasmi wa vita vya 3 vya dunia!roket kawaida hizo zipogo tu, US anaisogeza manowar yake taratiib Haytollah ajichanganye tu anavuliw dera
Yeah, na mwanzo rasmi wa vita vya 3 vya dunia!roket kawaida hizo zipogo tu, US anaisogeza manowar yake taratiib Haytollah ajichanganye tu anavuliw dera
Kwahiyo hizo walizorusha Jana ni unguided rockets?! 😂😂😂😂😂Aisee mbona hiyo habari umeileta kiushabiki na wewe?
Hizo zilizopigwa ni rockets mzee.
Tena ni light rockets,ila karejelee habari ya miezi miwili ilopita ya Hizbollah kutumia Guided missiles ambazo Iron dome zilishindwa kuzidungua zikaharibu kambi mbili za North Israel ikiwemo Galilee.
Yani iron dome ina uwezo wa kudungua rockets tu ila hazina uwezo wa kudungua guided missiles.
Nakusisitiza hizo ni rocket jiulize Hizbollah ikiamua kutumia tena guided missiles itakuaje?
Mkuu acha utani bhana.Kwahiyo hizo walizorusha Jana ni unguided rockets?! 😂😂😂😂😂
Kwahiyo zile roketi 50 zilizorushwa na Hezbollah zikaanguka mbugani ndo Iran kajibu mapigo? Iran waache kulea ujinga, wayahudi wana akili mbovu next time target atakuwa AyatolahKwa maandishi haya, hakuna ulichojifunza.
Ww ndo unachanganya madesa... Umeanza kusema roketi za Jana zilikua unguided?! Evidence????Mkuu acha utani bhana.
Unafananishaje uwezo wa roketi na kombora!?
Yani ufananishe uwezo wa roketi na kombora kweli brooo!?
Rockets na missiles zipi zina damage kubwa katika mashambulizi!?
Sijachanganya madesa ila wewe hujanielewa nini nachozungumzia.Ww ndo unachanganya madesa... Umeanza kusema roketi za Jana zilikua unguided?! Evidence????
Hapa unaleta tena mada nyingine ya Rockets na missiles?!
Sasa tangu lini iron dome ikatungua missiles kama Cruise au ballistic?! Ilitengenezwa kwa kazi hiyo!?,.... Ndio maana kuna kitu kinaitwa layered air defense system Israel wana David Sling, Barak-8, Patriot, Arrow, Arrow-3, Spyder, nk
UNA UHAKIKA NA UNACHOSEMA?!Sijachanganya madesa ila wewe hujanielewa nini nachozungumzia.
Nilichokusudia ni kwamba Iron dome na uwezo wa ku intercept rockets tu ila sio missiles.
Na kiufupi Israel hana missile interceptors hana mfumo wa anga wa kudungua makombora.
Hata vita na Hamas walisaidiwa mifumo ya anga na USA kudhibiti makombora ya Houthi kupiga Eilat.
Hakika 100%.UNA UHAKIKA NA UNACHOSEMA?!
Israel ni moja ya nchi yenye mifumo imara na ya kisasa ya kutungua makombora ukizitoa USA, Russia na China.Hakika 100%.
Labda ulete ushahidi kunipinga.
Kama hizo zinafanya kazi kwanini USA ali deploy airdefense system zake pale Eilat kukinga makombora ya Houthi!?Israel ni moja ya nchi yenye mifumo imara na ya kisasa ya kutungua makombora ukizitoa USA, Russia na China.
Kazitafute hizi Arrow-2, Arrow-3, Barak-8, David Sling, Spyder air defense system. Halafu rudi tena hapa
Israel’s Arrow 3 has made its 1st-ever interception, downing likely Yemen-fired missile.Kama hizo zinafanya kazi kwanini USA ali deploy airdefense system zake pale Eilat kukinga makombora ya Houthi!?
Kwanini hizo Arrow 2 zisingewekwa pale Eilat!?
Na vipi kuhusu Hizbollah kule mpakani waliharibu kambi mbili za Israel kwa kutumia guided missile ambazo zina uwezo wa kukwepa interceptors,je hizo Arrow 2 na 3 zilikua wapi!?Israel’s Arrow 3 has made its 1st-ever interception, downing likely Yemen-fired missile.
For the first time ever, Israel’s most advanced air defense system, the Arrow 3, made a successful interception of a missile heading for the country’s southernmost city of Eilat, the IDF and the Defense Ministry announce.
The surface-to-surface missile, apparently launched from Yemen, was intercepted by an Arrow 3 missile over the Red Sea.
It marks the first time an Arrow 3 missile has been launched in an operational incident, and the first-ever interception.
https://www.timesofisrael.com/liveb...erception-downing-likely-yemen-fired-missile/
In first, Israel’s Arrow 2 air defense system intercepts ballistic missile near Red Sea: IDF
JERUSALEM — Israel’s Arrow air defense system for the first time intercepted a ballistic missile today, in an attempted strike believed to have been launched from Yemen.
The Israeli Defense Forces said the interception was the first operational use of the Arrow system since Hamas’s Oct. 7 attack, and that it “thwarted an aerial threat in the area of the Red Sea.” The IDF later said the missile was fired toward Israel but was intercepted before it could reach its target.
“All aerial threats were intercepted outside of Israeli territory. No infiltrations were identified into Israeli territory,” the IDF said.In first, Israel's Arrow 2 air defense system intercepts ballistic missile near Red Sea: IDF - Breaking Defense
Kuzuia makombora ya mpakani si rahisi kama unavyofikiria sababu reaction time inakua ni muda mchache Sana (seconds) ndio maana Urusi kila kukicha anachapwa kule Belgorod.Na vipi kuhusu Hizbollah kule mpakani waliharibu kambi mbili za Israel kwa kutumia guided missile ambazo zina uwezo wa kukwepa interceptors,je hizo Arrow 2 na 3 zilikua wapi!?
Arudi USA ichangamke tena biden wabaridi sanaHuyu jamaa anarudi tena White House sioni ni namna Gani Biden atamshinda Trump labda TISS ya Marekani waingilie kati .
Acha uongo rais wa marekani jana kamuomba rais wa China kumzuia Iran asiishambulie Israel.I hope Iran hataingia kwenye huu mtego, hii vita itakuwa ya US na ndio wanachotaka, US wako tayari kumnyeshea za kutosha na Wana hasira naye tangu Ayatollah achukue nchi miaka ya 70, na wanajua wakiweka kibatraka wao Iran, Middle East itakuwa koloni lao na ndio wanachotafuta, kama Saudi Arabia, Kuwait, Iraq etc Nini kimebaki?
Umeongea vitu vizito sana mkuu Nina waswasi kama atakuelewa.Ww ndo unachanganya madesa... Umeanza kusema roketi za Jana zilikua unguided?! Evidence????
Hata rockets pia zipo unguided na Guided mfano.wa guided rockets ni Himars, Unguided mfano ni Grad za Mrusi.
Hapa unaleta tena mada nyingine ya Rockets na missiles?!
Sasa tangu lini iron dome ikatungua missiles kama Cruise au ballistic?! Ilitengenezwa kwa kazi hiyo!?,.... Ndio maana kuna kitu kinaitwa layered air defense system Israel wana David Sling, Barak-8, Patriot, Arrow, Arrow-3, Spyder, nk
Nitalifuatilia hili.Kuzuia makombora ya mpakani si rahisi kama unavyofikiria sababu reaction time inakua ni muda mchache Sana (seconds) ndio maana Urusi kila kukicha anachapwa kule Belgorod.
Ww unadhani kwanini Urusi hataki NATO karibu na mipaka yake au kwanini hataki Marekani aweke makombora hapo Europe. Hayo makombora yakirushwa karibu na mipaka ya Urusi ni almost impossible kuyaintercept.
Tumeelewana sana ndio maana mjadala unaendelea.Umeongea vitu vizito sana mkuu Nina waswasi kama atakuelewa.
Biden amekwambia "Don't"Iran hadi sasa anasubiri nini?