Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 15, 2011 #161 dakika ya 42 AFC iko nyuma kwa goli 1 zidi ya african lyon goli lilofungwa dkk 10..
kilimasera JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 3,068 Reaction score 277 Jan 15, 2011 #162 Mbona umeweka jina la kwanza simba it means simba itakua bingwa ungepanga alphabetically!!!!au wewe ni shabiki wa simba??
Mbona umeweka jina la kwanza simba it means simba itakua bingwa ungepanga alphabetically!!!!au wewe ni shabiki wa simba??
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 15, 2011 #163 half time, AFC 0 na Lyon 1..kwa mwendo huu afc itashuka tena
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 15, 2011 #164 kilimasera said: Mbona umeweka jina la kwanza simba it means simba itakua bingwa ungepanga alphabetically!!!!au wewe ni shabiki wa simba?? Click to expand... kwasababu ndiyo mbigwa mtetezi na ndiyo inayoongo ligi ikiwa na pointi 27 ikifatiwa na yanga..hata hivyo mimi ni zaidi ya mshabiki wa ssc
kilimasera said: Mbona umeweka jina la kwanza simba it means simba itakua bingwa ungepanga alphabetically!!!!au wewe ni shabiki wa simba?? Click to expand... kwasababu ndiyo mbigwa mtetezi na ndiyo inayoongo ligi ikiwa na pointi 27 ikifatiwa na yanga..hata hivyo mimi ni zaidi ya mshabiki wa ssc
kilimasera JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 3,068 Reaction score 277 Jan 15, 2011 #165 Crashwise said: kwasababu ndiyo mbigwa mtetezi na ndiyo inayoongo ligi ikiwa na pointi 27 ikifatiwa na yanga..hata hivyo mimi ni zaidi ya mshabiki wa ssc Click to expand... Hongera sana tupo pamoja hivi ni kweli mohamed dewji amerudi kuwa mdhamini wa simba?
Crashwise said: kwasababu ndiyo mbigwa mtetezi na ndiyo inayoongo ligi ikiwa na pointi 27 ikifatiwa na yanga..hata hivyo mimi ni zaidi ya mshabiki wa ssc Click to expand... Hongera sana tupo pamoja hivi ni kweli mohamed dewji amerudi kuwa mdhamini wa simba?
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 15, 2011 #166 kagera 2 na azam fc 1, magori yote ya kagera yamefungwa na mwaikimba
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 15, 2011 #167 kilimasera said: Hongera sana tupo pamoja hivi ni kweli mohamed dewji amerudi kuwa mdhamini wa simba? Click to expand... Sina uhakika ngoja ivuga aje atakumwangia data
kilimasera said: Hongera sana tupo pamoja hivi ni kweli mohamed dewji amerudi kuwa mdhamini wa simba? Click to expand... Sina uhakika ngoja ivuga aje atakumwangia data
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 15, 2011 #168 simba 0 na zesco (zambia) 2 mechi ya kirafiki
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 15, 2011 #169 mchezaji afc ameonyeshwa kadi nyekundu dakiki ya 89
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 Jan 15, 2011 #170 mnyama
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 Jan 15, 2011 #171 kilimasera said: Mbona umeweka jina la kwanza simba it means simba itakua bingwa ungepanga alphabetically!!!!au wewe ni shabiki wa simba?? Click to expand... ndio maanake
kilimasera said: Mbona umeweka jina la kwanza simba it means simba itakua bingwa ungepanga alphabetically!!!!au wewe ni shabiki wa simba?? Click to expand... ndio maanake
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 15, 2011 #172 Mechi kati ya AFC na African Lyon imekwisha kwa African Lyon kufanikiwa kuwafunga wanjanja wa A-Town kwa goli 1 kwa beseni..... Attachments IMG_1696.JPG 284.6 KB · Views: 240 IMG_1697.JPG 315.1 KB · Views: 250 IMG_1686.JPG 500.7 KB · Views: 260
Mechi kati ya AFC na African Lyon imekwisha kwa African Lyon kufanikiwa kuwafunga wanjanja wa A-Town kwa goli 1 kwa beseni.....
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 Jan 15, 2011 #173 Crashwise said: Mechi kati ya AFC na African Lyon imekwisha kwa African Lyon kufanikiwa kuwafunga wanjanja wa A-Town kwa goli 1 kwa beseni..... Click to expand...
Crashwise said: Mechi kati ya AFC na African Lyon imekwisha kwa African Lyon kufanikiwa kuwafunga wanjanja wa A-Town kwa goli 1 kwa beseni..... Click to expand...
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 19, 2011 #174 kagera sugar 1 na Ruvu Shooting 0 goli limefungwa na Mwaikimba kwanjia ya penati baada ya George Michael kumwangusha mshezaji wa Kagera ndani ya box ni dakika ya 7.
kagera sugar 1 na Ruvu Shooting 0 goli limefungwa na Mwaikimba kwanjia ya penati baada ya George Michael kumwangusha mshezaji wa Kagera ndani ya box ni dakika ya 7.
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 19, 2011 #175 Benjamini Asukile anaipatia Kagera sugar goli la 2
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 19, 2011 #176 Dakika ya 17 Kagera 2 na Ruvu Shooting 0
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 19, 2011 #177 Ruvu shooting wanapata goli la kwanza kupitia kwa Oscar kwa shuti kali sana...
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 19, 2011 #178 Ruvu Shooting 1 na Kagera Sugar 2
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 19, 2011 #179 Ruvu shooting wana pata penati
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jan 19, 2011 #180 Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo