Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
mbeya city mbona unaidharau hivi......tunachukua ubingwa kwa taarifa yako

Mkuu sijaidharau ila nilichelea kuiweka kama mshindani kwa ajili ya ubingwa kwa sababu ya uchanga wake lakini pia kwa jinsi ilivyoperform kwenye kombe la mapinduzi.
 
Jaman yanga hapa taifa inanyanyasika na ashant,dk 45 shut moja la niyonzima
 
Jaman yanga hapa taifa inanyanyasika na ashant,dk 45 shut moja la niyonzima
Ndio maana walipo pigwa goli 7 kule ulaya vijijini walipiga marufuku waandishi wa habari kuripoti habari hiyooh!!!
 
Vp waliokuwa wanabisha suala la okwi wapo humu au wamemeza maneno yao !!!
 
Yanga wananiudhi na kamtindo kao kapya kakupiga magoli kipindi cha pili.
 
Kipindi cha pili ndio muda muafaka wa kuwaonyesha nn kilifuatwa uturuki...

Uturuki hawakufuata kitu ila walipeleka ndo maana walimwacha yule kiungo kwa sababu angemalizia mzigo njiani si unajua ana uzoefu na hivyo vitu. hahahahahaha usije kunitoa macho nilikuwa nawaza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…