nani ana msimamo wa ligi
Hongereni.lakini bado ubingwa wetu.!!
Hongereni.
Ngoja mimi ninunue kesi, nitavamia,hilo jukwaa.nashukuru mkuu kwa masahihisho hizi timu mbili za Ruvu Ruvu huwa zinanichanganya sana,hili jukwaa la michezo ni la kistaarabu sana,ningekuwa jukwaa la siasa people zinge report post yangu ili nipewe ban kwa kukosea kuandika
wataipata hiyo ya nne.Nawahurumia Wachezea LIBOLO, hata nafasi ya 4 iko mashakani. Ngoja tuone hadi mwisho hawa jamaa watakuwa nafasi gani.
Yanga kabakiza mechi 3 na zote atachezea nyumbani,ni dhidi ya Coast Union,Ruvu Shooting na wakalia LIBOLO FC(Simba)
tunahitaji point 4 tu kutangaza ubingwa
swali toka ligi kuu msimu huu umeanza yanga ajashinda gemu nje ya dar sijui wananunua hizi gemu wakiwa dar sijui mashabiki sijui marefa wa dar sijui nini tu.. Makoye Matale watu8 Fidel80
Hahaha...hili swali kama ukimuuliza Nsa Job Mahenya basi atakueleza kwa kirefu ni timu gani kinara wa kutoa milungula.
Timu yoyote inayocheza kwenye Home ground lazima ikaze...hivyo kutoka sare ugenini si matokeo ya kushangaza
Yanga kabakiza mechi 3 na zote atachezea nyumbani,ni dhidi ya Coast Union,Ruvu Shooting na wakalia LIBOLO FC(Simba)
tunahitaji point 4 tu kutangaza ubingwa
Yanga 0 - Coastal 0
Yanga 1 - Shooting 1
Yanga 1 - Simba 3
Hahaha...hili swali kama ukimuuliza Nsa Job Mahenya basi atakueleza kwa kirefu ni timu gani kinara wa kutoa milungula.
Timu yoyote inayocheza kwenye Home ground lazima ikaze...hivyo kutoka sare ugenini si matokeo ya kushangaza
Coast na Yanga mechi ya kwanza ilichezewa Chamazi? timu ya Temeke inajulikana ameamua tu kujifurahisha.
swali toka ligi kuu msimu huu umeanza yanga ajashinda gemu nje ya dar sijui wananunua hizi gemu wakiwa dar sijui mashabiki sijui marefa wa dar sijui nini tu.. Makoye Matale watu8 Fidel80
Huwezi kuwa haujalewa. Au umetumwa na Ndetichia upime upepo? Yeye tunampongeza kwa kutetea nafasi yake aliyoizoea, nimemuuliza amebakiza kucheza na nani kakwepa swali.
Nje ya Dar viwanja vibovu wachezaji wetu wamezoea mkeka wa Taifa
kwikwikwikwkikwikwiiiiiiiii haya bana bado na ndugu zenu mkia..
Uzuri sie twacheza mpira sijui hao wanatoa toa milioni 2.
Nje ya Dar viwanja vibovu wachezaji wetu wamezoea mkeka wa Taifa