sijui Simba watasingizia nini: Yondani na Basena hawapo, Okwi haonekani, Costa nje, Kazimoto,Mafisango, Bobani na Machaku wameanza tangu dk ya kwanza na Matokeo ni 3 kwa Moro U na 1 kwa Simba.
Mkuu unajua timu inaposhinda huwezi kuona makosa, cha ajabu hata Jabu tulitaka kumwacha sasa Amir ni majeruhi muda mrefu sijui hali ingekuwaje bila Jabu, naamini beki wakijipanga vizuri tunaweza kushinda hii mechi.