Mambo yanakuwa magumu kwa Simba: ila ni kutokana na uzembe unaofanywa na wachezaji wa Simba; Kapombe kaleta madoido mwishoe kanyanganywa mpira na kuwa gori la pili.
sijui Simba watasingizia nini: Yondani na Basena hawapo, Okwi haonekani, Costa nje, Kazimoto,Mafisango, Bobani na Machaku wameanza tangu dk ya kwanza na Matokeo ni 3 kwa Moro U na 1 kwa Simba.