kesho mkuu tuna wako wachezaji wetu 2 mhimu na mechi ya mwisho kucheza na azam walitufunga goli 3..je kesho unasemaje tutatoka..Watani poleni, karibuni msimbazi kuna nafasi bado zipo mnaweza kuwa washabiki kwa muda wakati timu yenu inatengemaa, mnatia huruma mmecheza mechi tisa bila ushindi.
kesho mkuu tuna wako wachezaji wetu 2 mhimu na mechi ya mwisho kucheza na azam walitufunga goli 3..je kesho unasemaje tutatoka..
<br />Nimemsikiliza Sendeu kwenye kipindi cha michezo cha radio one, leo kisingizio ni mwamuzi, jamani mliokuwepo uwanjani mtujuze kweli mwamuzi kaiua Yanga leo?
<br />Mechi ya Simba na Azam imeisha na matokeo ni sare ya bila kufungana.
Chamazi hakuna mtu jamani??? Hata wanaosikiliza redioni imeshindikana kutushirikisha?
Simba1 :0 Polisi
nani kafunga ? Dah sijui tumerogwa na Rizi1 au, mbona siku hizi uzezeta umezidi ktk kuripoti games ?
Mpira umemalizika:
SIMBA 1 POLISI DODOMA 0