wapeni support hao mcc, lolote laweza tokea.Timu zinapasha apa sokoine
Kaunda Stadium.. nyumbani kwa wazee wa Antalya/Uturuki. Chamazi, Azam kweli wana viwango vya kuwa mabingwa.
Azam hatoki leo hapa sokoine sisi sio timu ya watu kujitangazia ubingwa labda msubiri mjitangazie kwa jkt ruvu
ni mchezo tu hatuongi muzee ni mpira tu sasa hivi tupo vizuri..
Mwache apigweMan city kapigwa kimoja mpaka sasa
na wakichukua kombe sijui itakuaje..Mmeacha lini kuonga msee!
Kila la heri SSc, fungeni hao Ashanti. Kuchukua 'golden boot' si haba.UFUNGAJI.
1. Amis Tambwe magoli 19
2 . Kipre Tchetche magoli 14 3.Mrisho Ngassa magoli 12
Hamis Kizza magoli 12
4 . Didier Kavumbagu magoli 11
Hapa hakuna lolote acha niende zangu Anfield!!Man city kapigwa cha pili