Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Nimeongea na wachezaji wa kagera wamesema mambumbumbu fc hawachomoki leo.
 
ahaaaaaahaa kila laheli wekundu wa msimbazi lngawa tunatimiza ratiba tunza heshima.
 
mpira hauna pressure sana. Simba walishajikatia tamaa na wameanza kujiandaa kwa msimu ujao. bado ni bila kwa bila
 
mpira hauna pressure sana. Simba walishajikatia tamaa na wameanza kujiandaa kwa msimu ujao. bado ni bila kwa bila dk 37
 
Leo ndio tutahakikisha kama huyu mnyama simba, ni mla nyama au mla chips-mayai!
 
Back
Top Bottom